BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

5523

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
2,275
Reaction score
2,410
100.jpg

Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema.

Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ya nchi hiyo, alisema wengine 1,000 wamejeruhiwa.

Alisema waliopoteza maisha ni pamoja na maafisa wa ngazi za juu, na inaweza kuelezewa na wanajeshi hao kutofahamu eneo hilo, na vita vya ndege zisizo na rubani.

Ripoti za kwanza za majeruhi wa Korea Kaskazini zilikuja mapema wiki hii. Iliibuka mwezi Oktoba kwamba Kaskazini ilikuwa imetuma wanajeshi 10,000 kusaidia juhudi za vita vya Urusi.

Siku ya Jumatatu msemaji wa Pentagon ya Marekani alisema Wakorea Kaskazini waliuawa, bila kutaja idadi, na siku moja baadaye afisa wa Marekani ambaye hakutajwa jina alisema kuwa kulikuwa na "mia kadhaa" waliouawa au kujeruhiwa.

Wanajeshi wa Korea Kaskazini, ambao hakuna hata mmoja wao aliye na uzoefu, wanaaminika kuwa walitumia wiki zao za kwanza nchini Urusi katika mafunzo na kisha katika majukumu ya usaidizi.

Majeruhi hao wanadhaniwa kutokea katika eneo la Kursk nchini Urusi, ambako wanajeshi wa Ukraine wanalinda eneo dogo lililotekwa wakati wa uvamizi wa ghafla mwezi Agosti.

Jumamosi iliyopita, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema Urusi imeanza kutumia "idadi kubwa" ya Wakorea Kaskazini katika mashambulio yake huko Kursk.

Hawafikiriwi kuwa wametumwa nchini Ukraine kwenyewe, ambapo wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakisonga mbele katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo katika miezi ya hivi karibuni.
 
View attachment 3180182

Hawa wameenda kufa kule Ukraine kwa sababu ya njaa tu kule kwao kiduku ametaka apelekewe tani za mchele tu in return
 
Hii vita imemtoa kamasi super pawa

Huko Syria kafurushwa

Nargono kalabakh alishindwa kuilinda dhidi ya arjabejan kwa sababu ya kukabwa koo huko Ukraine.

Libya nako kaanza kutoa assets zake za kijeshi
Huko Mali na mataifa Mengine ya Sahel yaliyomwona kama mwokozi wao ugaid ndio kwanza unazid kushika Kasi
Mataifa yaliyokuwa hayana mawazo ya kujiunga na NATO kwa Karne na Karne kama Sweden na Finlandndio kwanza yamejiunga NATO,ni katika kipindi Cha vita hii urusi kaongeza mpaka mpya na NATO wenye urefu wa zaidi ya kilometers elf mbili

List ni ndefu sana 🏃🏃🏃
 
List ni ndefu na muda ni mchache
 
View attachment 3180182

Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema.

Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ya nchi hiyo, alisema wengine 1,000 wamejeruhiwa.

Alisema waliopoteza maisha ni pamoja na maafisa wa ngazi za juu, na inaweza kuelezewa na wanajeshi hao kutofahamu eneo hilo, na vita vya ndege zisizo na rubani.

Ripoti za kwanza za majeruhi wa Korea Kaskazini zilikuja mapema wiki hii. Iliibuka mwezi Oktoba kwamba Kaskazini ilikuwa imetuma wanajeshi 10,000 kusaidia juhudi za vita vya Urusi.

Siku ya Jumatatu msemaji wa Pentagon ya Marekani alisema Wakorea Kaskazini waliuawa, bila kutaja idadi, na siku moja baadaye afisa wa Marekani ambaye hakutajwa jina alisema kuwa kulikuwa na "mia kadhaa" waliouawa au kujeruhiwa.

Wanajeshi wa Korea Kaskazini, ambao hakuna hata mmoja wao aliye na uzoefu, wanaaminika kuwa walitumia wiki zao za kwanza nchini Urusi katika mafunzo na kisha katika majukumu ya usaidizi.

Majeruhi hao wanadhaniwa kutokea katika eneo la Kursk nchini Urusi, ambako wanajeshi wa Ukraine wanalinda eneo dogo lililotekwa wakati wa uvamizi wa ghafla mwezi Agosti.

Jumamosi iliyopita, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema Urusi imeanza kutumia "idadi kubwa" ya Wakorea Kaskazini katika mashambulio yake huko Kursk.

Hawafikiriwi kuwa wametumwa nchini Ukraine kwenyewe, ambapo wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakisonga mbele katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo katika miezi ya hivi karibuni.
propaganda tu,
wameajuaje wanajeshi 100 wameuliwa ikiwa mpaka leo hatujaona picha ya wakorea huko kursh?

media na intel communities huwa ni walaghai sana, bahati mbaya kwenye vita ukweli huwa mwathirik namba 1!
 
View attachment 3180182

Takriban wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mapigano katika vita vya Ukraine tangu waingie kwenye mapigano upande wa Urusi mapema mwezi huu, mbunge wa Korea Kusini amesema.

Lee Sung-kwon, akizungumza na waandishi wa habari baada ya bunge kupewa taarifa na Idara ya Kitaifa ya Ujasusi ya nchi hiyo, alisema wengine 1,000 wamejeruhiwa.

Alisema waliopoteza maisha ni pamoja na maafisa wa ngazi za juu, na inaweza kuelezewa na wanajeshi hao kutofahamu eneo hilo, na vita vya ndege zisizo na rubani.

Ripoti za kwanza za majeruhi wa Korea Kaskazini zilikuja mapema wiki hii. Iliibuka mwezi Oktoba kwamba Kaskazini ilikuwa imetuma wanajeshi 10,000 kusaidia juhudi za vita vya Urusi.

Siku ya Jumatatu msemaji wa Pentagon ya Marekani alisema Wakorea Kaskazini waliuawa, bila kutaja idadi, na siku moja baadaye afisa wa Marekani ambaye hakutajwa jina alisema kuwa kulikuwa na "mia kadhaa" waliouawa au kujeruhiwa.

Wanajeshi wa Korea Kaskazini, ambao hakuna hata mmoja wao aliye na uzoefu, wanaaminika kuwa walitumia wiki zao za kwanza nchini Urusi katika mafunzo na kisha katika majukumu ya usaidizi.

Majeruhi hao wanadhaniwa kutokea katika eneo la Kursk nchini Urusi, ambako wanajeshi wa Ukraine wanalinda eneo dogo lililotekwa wakati wa uvamizi wa ghafla mwezi Agosti.

Jumamosi iliyopita, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alisema Urusi imeanza kutumia "idadi kubwa" ya Wakorea Kaskazini katika mashambulio yake huko Kursk.

Hawafikiriwi kuwa wametumwa nchini Ukraine kwenyewe, ambapo wanajeshi wa Urusi wamekuwa wakisonga mbele katika maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo katika miezi ya hivi karibuni.
Mambo ya korea kaskazini, ana yasemea korea kusini, hii dunia ina mambo sana, ajabu hao Ukraine wenyewe hawajaona askari wa Korea kaskazini kwenye uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom