BBC: Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katka vita vya Ukraine

Kwani hapo ushahidi umetolewa juu ya vifo vya hao wanajeshi wa korea kaskazini ?umeona hata jina la mmoja wa waliokufa likitajwa au hata picha zao?
Kwani baada ya madai ya vifo vya Wanajeshi ya Korea kaskazini umesikia wakikanusha wahusika ambao ni Rasia na North Korea au we ndo msemaji wao?
 
Wanajeshi 5000 wa NATO wameshauwa ndani ya miezi miwili
 
Acha kusikiliza vyanzo vya CNN,waongo hao.
 
propaganda tu,
wameajuaje wanajeshi 100 wameuliwa ikiwa mpaka leo hatujaona picha ya wakorea huko kursh?

media na intel communities huwa ni walaghai sana, bahati mbaya kwenye vita ukweli huwa mwathirik namba 1!
Picha ziko nyingi tu ............watu wanaliwa na droni bila utata.........na hivi hata macho hawana basi wako kama vipofu tu..................yaani Korea kasikazini vitani ni kuku wa kisasa.........kule Ukraine hawapindi nondo wala kubeba matofali ..........kule droni shaaaaaaa cha matako
 
FAKE NEWS
BBC WAZEE WA PROPAGANDA πŸ˜‚
 
Kwani baada ya madai ya vifo vya Wanajeshi ya Korea kaskazini umesikia wakikanusha wahusika ambao ni Rasia na North Korea au we ndo msemaji wao?
Toka lini Russia au North korea wakaangaika na uzushi? wao ndio wanatakiwa kuleta ushahidi sio Mrusi wala North Korea
 
Toka lini Russia au North korea wakaangaika na uzushi? wao ndio wanatakiwa kuleta ushahidi sio Mrusi wala North Korea
We ndo umejiweka msemaji wao,warusi daima wanakanusha mambo ya uongo,juzi TU hapa Trump aliposema warasia Laki 6 wamauwawa vitani mbona msemaji wao kaja mara Moja kujitetea,Sasa wewe kibalakashia unatoka wapi?
 
propaganda tu,
wameajuaje wanajeshi 100 wameuliwa ikiwa mpaka leo hatujaona picha ya wakorea huko kursh?

media na intel communities huwa ni walaghai sana, bahati mbaya kwenye vita ukweli huwa mwathirik namba 1!
Putin amewai kukuoneshea wale watz waliofa vitani ? mtu mweusi unaendeshwa na hisia kuliko akili , ukiitwa ny@n unakunja mdomo
 
Kiduku anafanya biashara ya kubadilisha dsmu za watu na mchele toka Urusi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…