BBC: Wanajeshi waliouawa ni kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania. Hao Watanzania mbona hatuambiwi na mmefanya kimya?

Watu 700 ndani ya wiki sio mchezo
 
Kumbe M23 sio wa mchezo mchezo
 
Wakati wa JK Jumla ya Askari walioripotiwa kufariki Kwa taarifa rasmi ya serikali ni 23 ,why Sasa hivi mfiche? Ngoja nitafute vyombo vya habari vya Malawi namione kama wametoa taarifa
 
Kwa hiyo wewe unaiamini Fake media ya BBC?
 
Hawawezi sema watu watakimbia jeshi, na wakitangaza nafasi za jeshi watakosa watu, hawasemagi
 
Chura kiziwi atakuwa hajasikia hii?
 
Huenda ni mmoja alie kwenda na maji

Kapost jana usiku

Post in thread 'Jeshi la Congo na Burundi yaanzisha mashumbulizi jijini Goma dhidi ya M23.'
 
Halafu kuna kichaa mmoja anakuja JF anasema Tanzania wakati huu vita ikishika kasi tukae kimya, tusiwe na upande. Mpuuzi kabisa.

Kagame apigwe mara moja.
Wakati unapanga kumpiga Kagame yeye anazidi kujichimbia na kujiimarisha kwenye taasisi zako nyeti.
 
yàani kagame kapiga nchi kibao. Kwa kuwa kutuma maneno makali SA, nchi zote hizi zipeleke wanajeshi kwa unifomu ya south africa basi
Hio kijeshi vp inaruhusiwa ,askari wa jeshi la taifa lingine kuvaa gwanda za nchi nyingine wakiwa kwenye mission
 
no ni kulamba vichwa vya viongozi tu bila kujua nani anawatafuna!, umafia wa hali ya juu huku mnawamaliza kinguvu pia kiuchumi yani unapiga two in one!.
Harafu hao Watutsi wa DRC mnawapeleka wapi baada ya Kuwaua viongozi wao?
 
Hapo mziki wa JW ndio unaanza..Twende na Jeshi la Burundi.
 
Tanzania imewahi kupeleka walinda amani nchi nyingi na haikuwahi kutangazwa idadi kamili ya waliokufa vitani.
Nchi karibu zote ndiyo hivyo hutaja wachache au hawataji kabisa kwa sababu fulani za kiusalama na mbinu za kivita.
Hakuna haja ya kuficha wanajeshi waliokufa, kujeruhiwa au kutekwa wakiwa wanalinda amani. Tena wakiwa hawaruhusiwi kupigana.

Kama ni active war kama Ukraine- Russia inawezekana kuona kuna umuhimu wa propaganda. Sio hii mission ya kulinda amani chini ya Chapter VI UN charter. Wote wametoa taarifa SA, Malawi, Uruguay na wa mwisho Tanzania. Jeshi limetoa taarifa. Kuna sababu gani za msingi za kuficha ukweli kwenye hii mission.

View: https://youtu.be/DEFhQXz-MSk?si=q0gHV--LucgS2ZNy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…