Ni kweli kabisa kwamba suala hili Lina mkanganyiko mkubwa sana kwa upande wa Tanzania.
Kwa sababu kwa taarifa zilizopo ni kwamba idadi ya Wanajeshi waliokufa kutokana na VIta hiyo ya huko Congo DR ni kubwa sana, kwa kipindi Cha wiki moja iliyopita idadi jumla ya Watu waliokufa inadaiwa kuwa ni zaidi ya Watu 1,000 (Raia na Wanajeshi). Wanajeshi Wapiganaji waliokufa ni zaidi ya mia Sita kutoka Vikosi vya Waasi na kutoka kwa Vikosi vya FARDS na Walinda Amani wa SADC+SAMIDRC Tanzania ikiwamo.
Nafikiri Serikali ya Tanzania unapaswa kutoa taarifa sahihi kwa umma ili kuondoa misinformation