BBC: Wanajeshi waliouawa ni kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania. Hao Watanzania mbona hatuambiwi na mmefanya kimya?

BBC: Wanajeshi waliouawa ni kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania. Hao Watanzania mbona hatuambiwi na mmefanya kimya?

Ufaransa na UN huwa sio wa kuwaamini sana na huwa wanachukua sides kwa mfano Ufaransa ilituma maelfu ya majeshi ili kwenda kuzuia RPF advance huko Gitarama.

UN hali kadhalika ilikuwa ni watazamaji kwenye Genocide ya Rwanda na sote tunajua General Romeo Dallaire alikiri na unaweza kumsoma google to UNAMIR failure in Stopping Rwanda Genocide.

Kwahiyo hao sio wa kuamini.
Lakini tuwaamini kina nani mkuu?.
 
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila .

Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouwawa na M23 ni kutoka Afrika kusini Malawi na Tanzania ila hapa Tanzania hakuna taarifa.

Tunaomba taarifa ili tujue maana tuna ndugu,mme,mke na marafiki huko Congo, msifanye siri pls

USSR
View attachment 3221522a
Jeshi letu lipo mikononi mwa raia feki....wenyewe wanasema kifo cha mbantu ni sawa na kifo cha nyani tu.....nyele moja ya rostam azizi inathamani kuliko wanajeshi 1000 wa Tanganyika
 
Ifike hatua ile vita ufanyike umafia mkubwa ndo itaisha hivi kutafuna unaacha wanajijenga tena, unatafuna unaacha litakuja kuwa sugu lisilotibika lisambae!
Hayo yanakuwa hivyo kwa sababu ya ufisadi kuna watu wananufaika na huo ufisadi...unaofanya na serikali ya drc wao kwa wao ...kuna makampuni na madalali wa silaha
 
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila .

Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouwawa na M23 ni kutoka Afrika kusini Malawi na Tanzania ila hapa Tanzania hakuna taarifa.

Tunaomba taarifa ili tujue maana tuna ndugu,mme,mke na marafiki huko Congo, msifanye siri pls

USSR
View attachment 3221522a
Ni kweli siku vita inaanza kuchachamaa waasi waliwatuliza Tanzania kuwaogopesha wasiingilie lakini wanafanya siri
 
Siri ni kuficha maradhi bora waweke wazi ili watu walipe kisasi
 
Hayo yanakuwa hivyo kwa sababu ya ufisadi kuna watu wananufaika na huo ufisadi...unaofanya na serikali ya drc wao kwa wao ...kuna makampuni na madalali wa silaha
Ni kweli kwamba Wakongo ni watu wa bata, fashion, kujipodoa, kuchibua, legelege sana. Hata Rwanda wakiondoka nadhani mataifa mengine na vikundi vingine vitaendelea kuiba madini ya DRC kama huyu Nangaa anayeongoza M23.

Wacongo hawana umoja, hawajali maslahi ya Taifa ni wabinafsi sana. Kila mtu anataka kuwa kama Mobutu, kutanua, ubinafsi, ufisadi, wizi wa mali za umma, dalali wa maliasili za DRC. Kama Tanzania tunapoelekea.
 
Jana nilimuona kwenye habari Waziri wa ulinzi kwenye kampeni za upandaji miti Dodoma nikawaza kuna nini huyu Bibi system inamuibua kupitia media tuone kuwa yupo ofisini/kazini?
we nchi gani makini umeona kapewa Wizara kubwa hivui mwanamke ambaye hata darubini hajui shika?
 
Ifike hatua ile vita ufanyike umafia mkubwa ndo itaisha hivi kutafuna unaacha wanajijenga tena, unatafuna unaacha litakuja kuwa sugu lisilotibika lisambae!

Wafanye Genocide tu. Hakuna namna.

Cc: Aljazeera.
 
Halafu kuna kichaa mmoja anakuja JF anasema Tanzania wakati huu vita ikishika kasi tukae kimya, tusiwe na upande. Mpuuzi kabisa.

Kagame apigwe mara moja.
Wanajeshi wamepigwa na M23 wewe unaenda kuipga Rwanda, huo utakuwa wendawazimu.
 
Samia angesema yuko tayari kupigana vita dhidi ya Afrika Kusini watu wote hapa wangemgombeza.
Lakini Kagame anasema Rwanda Iko tayari kupigana na Afrika Kusini. Inakuaje hii?
 
Awali kulikuwa na taarifa za mateka wa Kitanzania kwa muda mrefu vikafanyika vikao vya dharura vya SADC ikawa bila bila.

Juzi rais wa Burundi anasema anapigana pia kusaidia ndugu zake wa Tanzania huku BBC idhaa ya kiswahili iliripoti kuwa idadi ya askari wa liouawa na M23 ni kutoka Afrika Kusini, Malawi na Tanzania ila hapa Tanzania hakuna taarifa.

Tunaomba taarifa ili tujue maana tuna ndugu, mme, mke na marafiki huko Congo, msifanye siri tafadhali

USSR
View attachment 3221522a

Ni kweli kabisa kwamba suala hili Lina mkanganyiko mkubwa sana kwa upande wa Tanzania.
Kwa sababu kwa taarifa zilizopo ni kwamba idadi ya Wanajeshi waliokufa kutokana na VIta hiyo ya huko Congo DR ni kubwa sana, kwa kipindi Cha wiki moja iliyopita idadi jumla ya Watu waliokufa inadaiwa kuwa ni zaidi ya Watu 1,000 (Raia na Wanajeshi). Wanajeshi Wapiganaji waliokufa ni zaidi ya mia Sita kutoka Vikosi vya Waasi na kutoka kwa Vikosi vya FARDS na Walinda Amani wa SADC+SAMIDRC Tanzania ikiwamo.
Nafikiri Serikali ya Tanzania unapaswa kutoa taarifa sahihi kwa umma ili kuondoa misinformation
 
Hu
Ni kweli kwamba Wakongo ni watu wa bata, fashion, kujipodoa, kuchibua, legelege sana. Hata Rwanda wakiondoka nadhani mataifa mengine na vikundi vingine vitaendelea kuiba madini ya DRC kama huyu Nangaa anayeongoza M23.

Wacongo hawana umoja, hawajali maslahi ya Taifa ni wabinafsi sana. Kila mtu anataka kuwa kama Mobutu, kutanua, ubinafsi, ufisadi, wizi wa mali za umma, dalali wa maliasili za DRC. Kama Tanzania tunapoelekea.
mamluki wapo wa kutosha sana ni Nchi ya wanafiki wengi
 
Uvamizi wa m23 ulilenga kambi zote za kulinda Amani hata Asikari waliouawa ni kubwa sana hususani kwa upande wa South Africa kwani wao wapo jirani na njia kuu ya M23
 
Back
Top Bottom