RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Lakini tuwaamini kina nani mkuu?.Ufaransa na UN huwa sio wa kuwaamini sana na huwa wanachukua sides kwa mfano Ufaransa ilituma maelfu ya majeshi ili kwenda kuzuia RPF advance huko Gitarama.
UN hali kadhalika ilikuwa ni watazamaji kwenye Genocide ya Rwanda na sote tunajua General Romeo Dallaire alikiri na unaweza kumsoma google to UNAMIR failure in Stopping Rwanda Genocide.
Kwahiyo hao sio wa kuamini.