Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

Huu Upu'ribs utafumbiwa macho mpaka lini??? Sasa hii ni tetesi ya namna gani hii??

Poa poster..

..Ni Hayo Tu!!
 
Halafu kumbe hata kuua kwa mkono wake hakuwa na uzoefu, baada ya kumwaga ubongo wa Ben unaambiwa alitetemeka hadi kuangusha silaha aliyoitumia, Noma kweli yaani!
Mnafki sana yule, usikute alikuwa anaigiza kutetemeka mbele za watu ila alipojifunika shuka akilala alifurahi moyoni mwake.
 
Hapana hawa jamaa hua hawatoi taharifa za uongo, sababu faini yake sio mchezo, wanakuaga na ushahidi wa kutosha man!!
Yah ipo hivyooo, soon utawasikia KILE TUNACHOJUA KUHUSIANA NA MADAI YA KABENDERA JUU YA KIFO CHA BEN SAANANE.
 
Hawa jamaa hawatashindwa kumhoji Kabendera Live.
 
Na wakianzaga habari zao wale jamaa wanafululiza mwezi mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…