Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

Kwamba hao experts wamekaa wakisubiri kitabu cha Kabendera (mfuata upepo) ndio waingie kazini?

So Lame!
Huyu mmawia ana shida sana, anapambana na mtu asiye na madhara kwake Wala kwa yoyote yule ikiwemo ccm yenyewe!!!

Magu keshakufa, naona Kuna anasema atalipa yote (rambi rambi ya kagera) analipaje sasa??!

Mental illness is really to some dudes!!!
 
Ingekuwa ni enzi ya Magufuli hao BBC wangekuwa tayari wameshakitangaza hicho kitabu. Ona jinsi walivyomshobokea Lissu lakini tangu Magufuli afe hawataki hata kumsikia Lissu😁😁
 
Upuuzi mtupu. Yaani taasisi kubwa ipoteze mda wake kwa kakijitabu kilichoandikwa na mwanasiasa wa kiafrika!

Anyway mleta mada na wafuasi wako nyote ni wafa maji, kutapatapa ni lazima. Halafu rekebisha... Makonda hakupigwa ban sababau ya mauaji
 
Habari wakuu!?

Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.

Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi kuhusu mauaji ya mchungaji Makenze, kule Nigeria walifumbua mengi zaidi kuhusu shutuma za TB Joshua.

Kwa hili linaloendelea hapa Tanzania kutoka ktk kitabu cha Eric Kabendera, tutarajie taarifa nyingi zaidi zitakazotufanya tubaki midogmo wazi kutoka BBC.

Ninaamini kwa sasa wanachambua page after page na matukio ambayo watayagudia zaidi ni la Ben Saanane na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.

Yamkini kwa sasa wameshaanza uchunguzi wa kitabu hiki na wanaandaa nakala kadhaa kisha waanze kurusha hewani ni nini hasa kilitokea kwa Ben Saanane na kwa Lissu pia.

Mind you. Magharibi ma Ulaya walimpiga stop aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda asikanyage USA kwa kumhusisha na mauaji nchini.

Pia kule Uingereza wakatoa habari kwamba TIGO ilihusika na kutoa taarifa zilizosababisha Lissu kupigwa risasi. Hawa jamaa wakiamua kutuwekea mambo wazi watayaweka wazi kwelikweli, kile tunachokitamani kujua ukweli wake, huenda hawa jamaa wakawa nao tayari.

Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Tanzania.
BBC Swahili service imekuwa ya hovyo sana, inatumia wahariri wa kitanzania ambao wengi ni machawa. Mfano katika kipindi cha matukio muhimu ya 2024, walikwepa makusudi kuzungumzia kilichofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!
 
Upuuzi mtupu. Yaani taasisi kubwa ipoteze mda wake kwa kakijitabu kilichoandikwa na mwanasiasa wa kiafrika!

Anyway mleta mada na wafuasi wako nyote ni wafa maji, kutapatapa ni lazima. Halafu rekebisha... Makonda hakupigwa ban sababau ya mauaji
Sawa.
 
Huyu mmawia ana shida sana, anapambana na mtu asiye na madhara kwake Wala kwa yoyote yule ikiwemo ccm yenyewe!!!

Magu keshakufa, naona Kuna anasema atalipa yote (rambi rambi ya kagera) analipaje sasa??!

Mental illness is really to some dudes!!!
Akheri hata wangekua na mental illness!

Hawa ni parasites.
 
Back
Top Bottom