Huyu mmawia ana shida sana, anapambana na mtu asiye na madhara kwake Wala kwa yoyote yule ikiwemo ccm yenyewe!!!Kwamba hao experts wamekaa wakisubiri kitabu cha Kabendera (mfuata upepo) ndio waingie kazini?
So Lame!
Hakuna, na kanisa lipo!!Hebu toa majibu ya investigation stories ambayo BBC waliifungia kibwebwe kama TB Joshua, je baada ya kutoa taarifa zao nini kilijiri baadaye?.
Ushabiki mamboleo unawapumbaza. Tupe kidokezo basi namna ilivyokuwa.Jiwe na Mkolomije walipuyanga sana kumuua Ben Saanane.
Ni mkazo sio jazbaPunguza jazba mkuu
BBC Swahili service imekuwa ya hovyo sana, inatumia wahariri wa kitanzania ambao wengi ni machawa. Mfano katika kipindi cha matukio muhimu ya 2024, walikwepa makusudi kuzungumzia kilichofanyika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa!Habari wakuu!?
Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.
Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi kuhusu mauaji ya mchungaji Makenze, kule Nigeria walifumbua mengi zaidi kuhusu shutuma za TB Joshua.
Kwa hili linaloendelea hapa Tanzania kutoka ktk kitabu cha Eric Kabendera, tutarajie taarifa nyingi zaidi zitakazotufanya tubaki midogmo wazi kutoka BBC.
Ninaamini kwa sasa wanachambua page after page na matukio ambayo watayagudia zaidi ni la Ben Saanane na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
Yamkini kwa sasa wameshaanza uchunguzi wa kitabu hiki na wanaandaa nakala kadhaa kisha waanze kurusha hewani ni nini hasa kilitokea kwa Ben Saanane na kwa Lissu pia.
Mind you. Magharibi ma Ulaya walimpiga stop aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda asikanyage USA kwa kumhusisha na mauaji nchini.
Pia kule Uingereza wakatoa habari kwamba TIGO ilihusika na kutoa taarifa zilizosababisha Lissu kupigwa risasi. Hawa jamaa wakiamua kutuwekea mambo wazi watayaweka wazi kwelikweli, kile tunachokitamani kujua ukweli wake, huenda hawa jamaa wakawa nao tayari.
Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Tanzania.
Sawa bossNi mkazo sio jazba
Inampasa aandike hivyo vitabu na kuzusha Uongo wake ili aendelee kupata hifadhi kama mkimbizi wa kisiasa .😁Alidanganywa sana na Kabwe
Hapo UK Memba alichotwa kama mzoga tu 😂😂😂🐼
Sidhani kama ulikuwa kiumbe hai wakati huo
Sawa.Upuuzi mtupu. Yaani taasisi kubwa ipoteze mda wake kwa kakijitabu kilichoandikwa na mwanasiasa wa kiafrika!
Anyway mleta mada na wafuasi wako nyote ni wafa maji, kutapatapa ni lazima. Halafu rekebisha... Makonda hakupigwa ban sababau ya mauaji
Unapigana na mfu wakati pumzi akiwa nayo mlijificha kwenye mashimo ya panya buku ni uoga na ujinga uliopitiliza.....Very well calculated move.. Kwanza kitabu.. Kisha uchambuzi na ithibati kwa kutumia undercovers
Aliyewafundisha kauli za ujinga zikawaingiaNani kakwambia naishi kwa kufata Nyerere alisema nini??
Wale ni mabeberu hutaki ni beberu utake ni beberu.
Kama taifa tulishafeli toka zamani sana.Aliyewafundisha kauli za ujinga zikawaingia
Halafu?!Ungekaa kimya tu.
Akheri hata wangekua na mental illness!Huyu mmawia ana shida sana, anapambana na mtu asiye na madhara kwake Wala kwa yoyote yule ikiwemo ccm yenyewe!!!
Magu keshakufa, naona Kuna anasema atalipa yote (rambi rambi ya kagera) analipaje sasa??!
Mental illness is really to some dudes!!!
Sawa mkuuHalafu?!
Uwongo wako mchafu, hauna hata hadhi ya kukaa fungu la propaganda.
Alale pema muasisi wa kauli za kijinga, hakika hatosahaulika mioyoni mwetu, tunamuenzi kwa kauli zake.Aliyewafundisha kauli za ujinga zikawaingia
Ha ha haAlale pema muasisi wa kauli za kijinga, hakika hatosahaulika mioyoni mwetu, tunamuenzi kwa kauli zake.
Hakika mabeberu walimkoma