Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

Tetesi: BBC wapo njiani kuja na mazito kuhusu kitabu cha Kabendera na kifo cha Ben Saanane

Alale pema muasisi wa kauli za kijinga, hakika hatosahaulika mioyoni mwetu, tunamuenzi kwa kauli zake.

Hakika mabeberu walimkoma
Yeye mwenyewe baada ya kuona haziko applicable kwa zana hizi aliziacha, bali wajinga mnaziendeleza kwa sababu ndani ya vichwa vyenu mnabebea maziwa hakuna ubongo
 
Kabendera awe makini. Anacheza mchezo hatari mno. Hii awamu iko makini mno. Mange mwenyewe kashatulizwa kimyakimya.
Makini katika kutengeneza mercenaries WA kuteka na kuua watu na kufanya ufisadi na abuse of power .
Pumbavu wewe
Hivi watz mna akili au mavi kwenye hayo mafuvu yenu ?
Kwa hiyo wewe unaona huu upuuzi ni wa kufurahiwa na watu kukaa kimya bila kuexpose huo uovu na kuukemea ?
 
Aende Hardtalk akabanwe kama Lissu na kitabu chake cha hadithi za kutunga.
 
Makini katika kutengeneza mercenaries WA kuteka na kuua watu na kufanya ufisadi na abuse of power .
Pumbavu wewe
Hivi watz mna akili au mavi kwenye hayo mafuvu yenu ?
Kwa hiyo wewe unaona huu upuuzi ni wa kufurahiwa na watu kukaa kimya bila kuexpose huo uovu na kuukemea ?
Acha upumbavu wewe keyboard warrior. Usijitoe ufahamu. Ungeanza kutumia jina lako halisi badala ya fake ID.
 
Habari wakuu!?

Kwa wale wanaowafahamu wazungu hasa shirika la BBC, hawa jamaa huwa wakipata taarifa ndogo huwa wanakaaa ofisini kwa wiki kadhaa au hata mwezi ama miezi kufanya uchunguzi kisha baada ya hapo wanaanza kufumua mengi zaidi ambayo yamejificha.

Kule Kenya wao ndio walichimba zaidi kuhusu mauaji ya mchungaji Makenze, kule Nigeria walifumbua mengi zaidi kuhusu shutuma za TB Joshua.

Kwa hili linaloendelea hapa Tanzania kutoka ktk kitabu cha Eric Kabendera, tutarajie taarifa nyingi zaidi zitakazotufanya tubaki midogmo wazi kutoka BBC.

Ninaamini kwa sasa wanachambua page after page na matukio ambayo watayagudia zaidi ni la Ben Saanane na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.

Yamkini kwa sasa wameshaanza uchunguzi wa kitabu hiki na wanaandaa nakala kadhaa kisha waanze kurusha hewani ni nini hasa kilitokea kwa Ben Saanane na kwa Lissu pia.

Mind you. Magharibi ma Ulaya walimpiga stop aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda asikanyage USA kwa kumhusisha na mauaji nchini.

Pia kule Uingereza wakatoa habari kwamba TIGO ilihusika na kutoa taarifa zilizosababisha Lissu kupigwa risasi. Hawa jamaa wakiamua kutuwekea mambo wazi watayaweka wazi kwelikweli, kile tunachokitamani kujua ukweli wake, huenda hawa jamaa wakawa nao tayari.

Mungu ibariki Afrika.
Mungu ibariki Tanzania.
Wazee wa propaganda tu
 
Yeye mwenyewe baada ya kuona haziko applicable kwa zana hizi aliziacha, bali wajinga mnaziendeleza kwa sababu ndani ya vichwa vyenu mnabebea maziwa hakuna ubongo
Sawa hayo maziwa yaliyo huku kichwani ndo yashakalili kua wale ni mabeberu, alichokianzisha mwendezake kitaendelezwa na sisi wafuasi wake popote hata kama aliacha hata wafuasi wa mabeberu mkikasirika.
 
Mfuasi wa juha ni zaidi ya juha
 
BBC wako upande wa mabeberu iko wazi watamkandamiza mzee wa watu
 
Makini katika kutengeneza mercenaries WA kuteka na kuua watu na kufanya ufisadi na abuse of power .
Pumbavu wewe
Hivi watz mna akili au mavi kwenye hayo mafuvu yenu ?
Kwa hiyo wewe unaona huu upuuzi ni wa kufurahiwa na watu kukaa kimya bila kuexpose huo uovu na kuukemea ?
Kuna watanzania wenzetu hadi tunajiuliza hawa ni binadamu kweli? Je, ni pesa ndo zinawafanya wawe watumwa kiasi hiki au ni nini?

Inasikitisha saana.
 
Back
Top Bottom