Sawa lakini injini zao hazina ubora kama zile za nchi za magharibi na ukweli huo hujidhihirisha kwenye "Economic Life".Wachina wana kampuni nyingi za kutengeneza engine maarufu ni kama Weichai, Yuchai, Xichai n.k
Ukiona imetumika tofauti na ya China basi target kubwa ni soko na sababu nyingine nilizokufundisha kwenye message # 11