sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule mzee alikuwa anajua kudanganya balaaKwani vile viwonder 8000 kila mkoa havipo tena?
Kwahiyo unashauri tufunge vyuo vya kilimo? Kati ya makosa makubwa yanayoweza kufanywa ni kudharau taaluma na ilmu. Kukifanya kilimo kimazoea kumepitwa na wakati, hizi ni enzi za matumizi ya sayansi kila mahala.Hivi unakijua hata kilimo!?..kulima mahindi unahitaji kupanda kwa space ya 25cm shimo Hadi shimo kwa mbegu moja na upana wa 75-90cm,kutegemeana na Hali ya rutba ya udongo,baada ya wiki unaweka dap kisoda kimoja katikati ya mashina kwa space ya 25cm,na 10cm toka mmea kwa 50cm,baada ya wiki tatu unaweka urea hivyohivyo,yalianza kunyonga ili kutoa mbelewele unaweka nusu kisoda,kila wiki pulizia dawa ya somi,...hii unahitaji mtu aliyesoma kilimo miaka mitatu afanye!?
Vyuo vya kilimo ni kwa ajili ya kuandaa wataalam wa kilimo,we unafikiri huko vyuoni wanasoma kulima mahindi, mpunga,nyanya miaka yote mitatu!?Kwahiyo unashauri tufunge vyuo vya kilimo? Kati ya makosa makubwa yanayoweza kufanywa ni kudharau taaluma na ilmu. Kukifanya kilimo kimazoea kumepitwa na wakati, hizi ni enzi za matumizi ya sayansi kila mahala.
Acha mboyoyo onyesha soko la ng'ombe lilipo.mboyoyo nyingi zakuitetea serikali zimeshapitwa na wakati.Wewe mpuuzi usiyejua kuchanganua mambo
Hizi story za kuwa kilimo ni mkombozi huwa sizielewi vizuri, maana wakulima wengi ndio wenye ugumu wa maisha. Fuatilia vizuri utakuta barmaid hapa mjini ana maisha mazuri, na ndio anayetuma hela kwa ndugu zake wanaomiliki zaidi ya hela 5 huko kijjini!BBT ni mkombozi wa wanyonge wacha kebehi
Sasa waamekwama nini hapo na hayo ni mafunzo?Vijana wa BBT waliojikita ktk ufugaji wa ng'ombe wameanza kulia kwa kukosa soko la ng'ombe wao.
Hata bibi yangu anayefuga ng'ombe zake kule Katavi kilio chake ni hicho hicho?
Serikali ilipaswa kujikita ktk kutafua changamoto za wakulima na wafugaji nchini na siyo kujiingiza kwenye miradi ya mazingaombwe kama BBT.
View attachment 2786712
Source: ITV habari.
Pugu lipo, vinguguti lipo, saa 24 hapo hukosi mnunuzi wa ng'ombe. Minada ya mifugo imejaa Tanzania nzima.Acha mboyoyo onyesha soko la ng'ombe lilipo.mboyoyo nyingi zakuitetea serikali zimeshapitwa na wakati.
Viwanda ndiyo jawabu sahihi.
Kutegemea soko la mpaka upewe mashariti ya kukubali ushoga ndiyo wanunue kwa bei nzuri ni ujinga
Mimi ni mtaalam wa kilimo cha umwaviliaji kwa zaidi ya miaka 35 sasa. Kati ya hiyo miaka, nimefanya na Waholanzi zaidi ya miaka 15, Waisraeli zaidi ya miaka, nane,.miaka iliyo baki niko binafsi, Bashe alipo kuja na hii hypothesis yake ya BBT nilikuwa mstari wa mbele kuipinga, na hadi sasa naipinga. Ni ndoto za alinacha.BBT ni Kilimo Cha kwenye Tablet, sawa na zile stori za kilimo cha matikiti za whatsapp
mkuu tatizo nafikiri ni elimu na zana bora za kilimo...alafu hiyo kichwa yako nafikiri inauwelewa mdogo sana ,mkopo wa benk unafahamu taratibu zake..yani barmeid apeleke makalio benki na mkulima mwenye aridhi ya heka tano kisha anyimwe mkopo ilihali kama barmaid hana mali yoyote ya isiyohamishika hebu changamsha bongo toka hapo ufipa ndugu mbowe anawadanganya sana hamjui tuhHizi story za kuwa kilimo ni mkombozi huwa sizielewi vizuri, maana wakulima wengi ndio wenye ugumu wa maisha. Fuatilia vizuri utakuta barmaid hapa mjini ana maisha mazuri, na ndio anayetuma hela kwa ndugu zake wanaomiliki zaidi ya hela 5 huko kijjini!
Ukitaka kujua kilimo ni janga katika nchi hii, aende barmaid bank na mkulima mwenye heka 5 wakitaka mkopo uone nani atakopeshwa mapema. Hapo ndio utajua kilimo ni Nini.
Mwarabu aache minofu ya Ngamia halafu ati ale Ng'ombe wa Bashe?Kwani sasahivi ng’ombe hai si wanasafirishwa kwenda uarabuni,soko lipo la kutosha.
Hujawahi kukopa inaonekena, ingekuwa kuwa na ardhi kunakupatia mkopo Kila mkulima angekuwa nao. Hao mabarmaid wanaweka hela bank na bank statement zao zinawabeba, sio hizo ardhi zinazotoa gunia tatu na robo kwa heka.mkuu tatizo nafikiri ni elimu na zana bora za kilimo...alafu hiyo kichwa yako nafikiri inauwelewa mdogo sana ,mkopo wa benk unafahamu taratibu zake..yani barmeid apeleke makalio benki na mkulima mwenye aridhi ya heka tano kisha anyimwe mkopo ilihali kama barmaid hana mali yoyote ya isiyohamishika hebu changamsha bongo toka hapo ufipa ndugu mbowe anawadanganya sana hamjui tuh