Be Forward wamekuwa wajanja na waongo, magari yanaletwa mabovu

Nitashukuru mkuu asante sana
 
Navyojua kama imepitia beforward kutoka Singapore hapo be forward ni third part ame act kama dalali tu na gari hakagui....

Nishanunua gari kutoka singapore ila yule agent wa singapore sikumuamini. Nikamcheki mtu wa SBT Japan akaicheki ile gari wakaikagua na kui reserve ndio nikanunua kupitia SBT ila waliongeza chao cha duu dola mia kadhaa....

Nilinunua 2021/22 iko poa tu...
 
Kama wamekufanyia huu unyama Mkuu basi wekeza nguvu kubwa kwenye kuchafua hii kampuni mpaka wanuke mavi
❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌
 
Forward huu uzi kwenye whatsapp yao
 
26M+ 10M = 36M duh hapo unapata mkwaju safi Japan wa Vanguard
 
Ndio hivyo na gari ipo juu ya mawe, inaniumiza sana. Mbaya zaidi Be forward hawakutaka kunisaidia kwa lolote. Imenikatisha sana tamaa ya kutumia Be forward, na sifahamu sana mitandao mingine ambayo ni genuine ya kuagiza magari
Nenda na SBT au Nikkyo kama bado una mashaka wape wataalamu wakuagizie maana kuna watu wana watu wao huko huko Japan anapoint kitu kikija mwenyewe unakubali
 
Be Forward kwa bongo ndio kampuni ambayo inaaminika sana kama wameanza business za kubahatisha basi wengi wanaenda kuumia ila ushauri unaponunua kitu chochote cha gharama yakupaswa uwekeze muda mwingi kwenye kukichunguza maana gari ikishaingia bongo kulikataa ni gharama na kuna take time
 
Ujuaji umekuponza ofisi zao zipo hapa mawasiliako yapo kwanini uagize direct.?

Unapiga simu Pakistan sijui japan si wanakupakilia gari lolote wanakuletea.
 
Watanzania tunapenda cheap, gari za singapore siyo gari watu hawaelewi ,
Gari reliable zipo japan na southafrica tu
 
Ilikuwa Singapore Mkuu ila kupitia ofisi yao ya Japan na Tanzania.
Wewe ndio mjinga wala sio wao.

Kwa nini uagize gari Singapore tena gari ya Mjapan, hapo inamaanisha gari imetumika Japan, ikaenda kutumika Singapore then ukanunua wewe, unategemea itakuwa sawa na iliyonunuliwa kwenye minada ya Japan?

Bad enough huna experince na mambo ya magari, kwanini hukuomba ushauri hata humu jukwaani kuna wataalam na wazoefu wangekupa elimu ya bure.

Siku nyjngine jifunze kabla hujachukua hatua.
 
Mkuu nadhani Ni jukumu lao kunipa hizo documents ili kulinda integrity yao. Ndahani Mimi nitajuaje kama zinahitajika?? Wamenitia hasara sana. Nimepata pia na wadau wengine wanalalamikia same thing
Watu wanaagizaje magari kwenye picha used? Yaani niliachaga huo ujinga gari zipo nyingi sana showroom naenda na begi langu nakagua gari bila fundi nanunua
 
Gari za Singapore mbona be forward huwa wanaweka maelezo vizuri tu mzee. Usiwalaumu kabisa.

Registration Year/month] is a registration date in Stock Country.




" [Manufacture Year/month] is provided by the 3rd Party Supplier.
BE FORWARD shall not be responsible for any loss, damages and troubles caused by this information.
* The odometer reading is provided by the 3rd Party Supplier.
BE FORWARD has not checked nor verified the authenticity of the information. BE FORWARD does not warrant the authenticity of the information.
* Chassis No. is provided by the 3rd Party Supplier.
The chassis number might be a temporary number so the chassis number can be changed before shipment. In that case, the accurate chassis number will be updated on official documents. BE FORWARD has not checked nor verified the authenticity of the information. BE FORWARD does not warrant the authenticity of the information.
Features
""
 
Janjapan wako vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…