Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingani Beach Bagamoyo Mjini
Mkuu hii ni bahari au bwawa?
View attachment 1876616
Au niulize, hivi viwanja viko umbali gani kutoka baharini?
Kambaku Huo ni mkondo wa bahari umeingia nchi kavu. Bahari kuu iko kama mwendo wa dakika 20 kwa kutembea kwa miguu.Mkuu hii ni bahari au bwawa?
View attachment 1876616
Au niulize, hivi viwanja viko umbali gani kutoka baharini?