mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
Tunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna uchafu sana.