kesi za ushoga ni too overated .... nba hizi zimekuwa ni upepo wa stor kam,a ilivyotokea kipindi kile cha wanyonya damu au freemasonItafika wakati kulea Mtoto wa Kiume itakua shughuli pevu sana
Alafu kinachosikitisha ni jinsi bunge na wabunge walivyolibeba hili swala juu juu na kuanza kubwataa isee inasikitisha sana. Ni kama hatujielewi vile.kesi za ushoga ni too overated .... nba hizi zimekuwa ni upepo wa stor kam,a ilivyotokea kipindi kile cha wanyonya damu au freemason
Mkuu ni uchafu gani huo unaofanyika beach ya ununio?? Unaweza kuwa specific kidogo? Sisi ni wakazi wa huku na sijawahi kusikia story yoyote mbaya kama unavyoelezea wewe hapa.. unaweza kuelezea zaidi tafadhaliTunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna uchafu sana.
Tafadhali tuwalinde watoto wetu na ushenzi mkubwa uliopo!Tunapoendelea na sakata la mashoga na mambo mengine yanayotia aibu na kinyaa, wazazi mnaoruhusu watoto wenu wa kike na wa kiume kwenda Ununio Beach wanafanya uchafu kul, kuweni makini lindeni watoto wenu. Maana usitegemee serikali ije ikulindie Serikali itapiga soga la siasa tu lakini pale kuna uchafu sana.
Nini kifanyike?kesi za ushoga ni too overated .... nba hizi zimekuwa ni upepo wa stor kam,a ilivyotokea kipindi kile cha wanyonya damu au freemason
Twende Ununio bidada🤣Ununio mara ya mwisho nimefika 2019.
Palikuwa pamechangamka… huwezi ondoka hujala mtongozo. Sasa hii 2023 🤷♀️🙆♀️
Muje muje mi naendelea kutafuna pweza [emoji223]Twende Ununio bidada[emoji1787]
Chunga sana kumuacha mtoto wa kike nila maitaji yake ya msingi, huu mji haufai kabisa kwa maana hiyo, ngumu sana.
Hata wa kiume tunawahonga wenyewe kabla hawajahongwa huko nje [emoji119]
Nimekumbuka nilisoma chuo flani cha ghorofa ya sita, tuna share jengo na Bank flani kubwa, kuna vijana wa kiume walikuwa wanaringishia kupewa offer za lunch na banker flani hivi!
Wewe itakuwa husisi dar... utakuwa pale morogoro msamvukesi za ushoga ni too overated .... nba hizi zimekuwa ni upepo wa stor kam,a ilivyotokea kipindi kile cha wanyonya damu au freemason