Beach ya Ununio kunafanyika uchafu mpaka kwa Watoto wadogo


Asante kwa taarifa mirindimo
 
Wewe itakuwa husisi dar... utakuwa pale morogoro msamvu
inasemekana kuna mzungu masaki ana kiwanda cha ushoga tena haile selassie mm nimesikia mbagala. masaki nipo kila siku sijasikia na bodaboda hawana taarifa hiyo. Hiv kumn watu wa muhimu kwa taarifa kama bodaboda?. na mpaka leo hawajui hizo hABARI na wananibeba kila siku kunipeleka root zangu nza kiofisi... ukweli wa stori zile uko wap?
 
Kuna mada hapa Jf ilikuwa inazungumzia kuwa kawe beach huwa kuna pisi kali,nikafunga safari kutoka Singida hadi Dar nikaenda hiyo kawe beach sijaona pisi yeyote kali zaidi ya sura ngumu kama ongala mwisho wa siku nikajutia tu nauli yangu,mwingine akaniambia nenda Jangwani beach ile ya kulipa kiingilio Elfu 10 kwenda na huko hola hakuna pisi yeyote kali zaidi ya kununulishwa maji lita moja na nusu kwa shilling Elfu 4
 
Ushoga upo but is overrated there's sectret Ajenda wakati mnapamban na ushoga katika keyboard mtakuja shtuka watu wamewapiga gap point of no return
Serikali inafanya spinning. Mfatilie ushoga huku wao wanajipakulia Nyama zote easily like no hell
 
Kweli kabisa haya maeneo mie nilishapiga threesome tatu hapo beach na pia kuna wana wanasodoma na gomorana hapo.
 
Sure Mkuu upo Sahihi waache wawape watoto wa kike Uhuru na wawalinde watoto wa kiume majibu watayapata Muda sio mrefu
 
udhibiti wa taarifa tu. Na udhibiti huu ujikite zaid ngaz ya influencers au public figures... hiv mtu kama Mwamposa azungumzie ushoga kila siku wiki nzima unajua habari hiz zitaenea na kuishi kwa muda gan?
Tena ndo wanaongea kila siku, sio kanisani wala misikitini.
 
Ununio beach ⛱️,kiboko wiki iliyopita nimegonga demu Pale karibu na freegate bar, nilimpeleka Sehemu Fulani hivi Kuna kigorofa Cha miti nikamgongea huko goli 3,
 
Halafu bichiboizi wakikununia utalalamika.
 
Umenena halisia KAKA.
 
Ningekuwa na mamlaka ningekupa Wizara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waeleze wakicheza watavuna mabwabwa wa kike na kiume huko beach. Mtoto chini ya miaka 18 ni wa kuangalia sana.
Sahihi kiongozi, kwangu Mimi mtoto Kwa baba hajui, even 18+ close observation on his/her pace is on high demand.
 
uchafu gani mbona mi sijaona uchafu pale ununio,
 
Mungu akubariki kwa andiko bora kabisa la kuanza wiki.
Kongole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…