Beatrice Mwaipaja pole sana ushuhuda wako ni mzito lakini hatimae utashinda kwani Kristo alishinda

Beatrice Mwaipaja pole sana ushuhuda wako ni mzito lakini hatimae utashinda kwani Kristo alishinda

Huko kwa ground inasemekana huyo na Martha sio ndugu wa Damu,wananzengo wanaenda mbele zaidi kuwa huyo Beatrice kavunja ndoa ya Martha baada ya kumpa uroda Mume wa Martha na mpaka Leo mwamba anakili kuwa anampenda Beatrice.
Hata huko huko Kwa ground, wanasema Yule Binti anayeishi na Martha ambaye Martha anamwita Mwanae, wanasagana na Martha...!

Na ndo chanzo Cha mvurugano wote huu wa familia ya Martha.
 
Naomba unipe ABC rafiki yangu nimepitwa hapa, kwani kafanyaje huyu Bite? nasikia na Martha kawa msagaji ikoje hiyo
Hao ni mtu na mdogo wake,tumbo moja...sasa sijui Kuna Siri gani katikati ya ugomvi wao...maana Beatrice anamtangazia vibaya dada yake,Mara hamjali mama yao,Tena Mara anasagana na Joan...Mara kanunua gari million 400 huku mama yake hajawahi mpa hata mia...

Na kinachostaajabisha exmume wa Martha Baraka yupo upande wa Shemeji yake Beatrice
 
ashamtafuna ukiona hivyo
 
Nitakaweza,kanifuate huku nje ya Tz
Naona bado hujawajua manabii wa kike kwa sababu wewe sio nabii wa kiume , ila nisikukatishe tamaa endelea kukavutia kwako na siku kakikupa unabii kuwa unapaswa uhame kwa kwa shemeji ako kabla hujakaoa ndio utajua hako kanabii sio saizi yako 😂😂
 
Yaan ni balaa, Beatrice anakili kwamba Martha anaimba nyimbo za kumtukuza Mungu wa Freemasonic na siyo huyu Mungu tunaemtumikia...anasema anauhakika na hilo maana wakiingia wote na dada yake,yeye kwa sasa kajitoa ila dada yake bado
Amewezaje kujitoa, wakat inasemekana ukiingia huko kujitoa ni ngumu
 
Chifu kwa shemeji tena,nje ya wazazi wangu sijawai kukaa kwa mtu...then miaka yangu na mtoto anaingia form two...vp una namba yake ,nifanye Nako maombi? Na Mimi pia ni mtalaka kama yeye,perhaps tuombeane nae
Naona bado hujawajua manabii wa kike kwa sababu wewe sio nabii wa kiume , ila nisikukatishe tamaa endelea kukavutia kwako na siku kakikupa unabii kuwa unapaswa uhame kwa kwa shemeji ako kabla hujakaoa ndio utajua hako kanabii sio saizi yako 😂😂
 
Gospel music industry ya Tz asilimia 90 imeshavamiwa na Ibilisi. Ndio maana niliacha kuwafatilia toka 2010. Gospel zangu ni Gaither vocal Band, Doen Moen, Carrie Underwood, Cece winans. Period.
Msanii wangu wa Mwisho alikuwa ni Shusho..
Alipoanza umalaya naye ndo nikaachana nao kabisa..

Watajijua.
 
Waafrika hasa Watanzania hizi ndo mada zetu tunazozipenda.
Uafrika ni laana ,Mungu wabariki wazungu.
 
Chifu kwa shemeji tena,nje ya wazazi wangu sijawai kukaa kwa mtu...then miaka yangu na mtoto anaingia form two...
Wewe jieleze uwezavyo ila nimeshakupa angalizo kanabii kakikutolea unabii usije rusha ngumi 🤣
vp una namba yake ,nifanye Nako maombi? Na Mimi pia ni mtalaka kama yeye,perhaps tuombeane nae
Halafu acha tabia za kuomba omba namba hapa jf usije tumiwa namba za mganga wa kienyeji...

Mie sina namba zake mkuu.
 
Back
Top Bottom