Ndio hapo sasa...naamini wengine ndoa zao ziko imara kabisaWanawasingizia..
Sijuia wanapata raha gani aisee kuna waimbaji jinsi ninavyowapenda huwa sitaki kabisaa kusikia habari za maisha yao binafsiNature ya wabongo wanapenda kusikia mambo mabaya kuhusu wenzao.[emoji1787]
Du! Una gari!Namkubali sana huyu dada, kwenye flash yangu safari ya mbali ndani ya gari hakosi
Itakuwa anajipa raha mwenyewe huko.Hivi Neema Mwaipopo aloimba raha jipe mwenyewe yuko wapi siku hizi?
kijana kazania masomoHivi hawa watu ktk hii tasnia kwanini woote ndoa zao zimekufa!?? Why!??
Du! Una gari!
Acha uongo Kila comment unareply wewe! Ingekuwa ni Chawa ungeshaachia page ya tatu tu.
Dah jamani kama hiyo sura ya bite ni sura ya baba basi wewe uzuri kwako lazima kiwe kiwango Cha malaika
Dah,sio wanaume wenyewe mnaanza kujistukia mwanamke akiwa na economic freedom?
Huyo nae anataka kuzua taharuki tu,,anasema nilitakiwa niutelekeze Uzi page ya tatu😥😥Yawezekana asiwe yeye. Kujibu kila comment ni wajibu wake as muanzisha uzi, na pia mwanzilishi wa mjadala akishiriki kikamilifu inasaidia Uzi wake kupata mileage.
-Kaveli-
Hakunaga kama R Muhando hapa nchiniJamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...
Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....
Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso
Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Huyo nae anataka kuzua taharuki tu,,anasema nilitakiwa niutelekeze Uzi page ya tatu😥😥