Beatrice Mwaipaja

Beatrice Mwaipaja

Acha uongo Kila comment unareply wewe! Ingekuwa ni Chawa ungeshaachia page ya tatu tu.

Yawezekana asiwe yeye. Kujibu kila comment ni wajibu wake as muanzisha uzi, na pia mwanzilishi wa mjadala akishiriki kikamilifu inasaidia Uzi wake kupata mileage.

-Kaveli-
 
Yawezekana asiwe yeye. Kujibu kila comment ni wajibu wake as muanzisha uzi, na pia mwanzilishi wa mjadala akishiriki kikamilifu inasaidia Uzi wake kupata mileage.

-Kaveli-
Huyo nae anataka kuzua taharuki tu,,anasema nilitakiwa niutelekeze Uzi page ya tatu😥😥
 
Jamani dada unajua kuimba Tenzi za rohoni mpaka unajua tena, yaani unaziimba Kwa utulivu wa kipekee sana, huna kiranga cha kubadilisha tune wala Nini, unatoa vitu original kabisaa, yaani kila wimbo ulioimba umetendea Haki...

Naomba upokee tu maua Yako ungali hai, Mungu kakujalia uzuri wa Sura, Sauti na Utulivu....

Umenipigia
1.Kombolewa
2.Kwa Calvary
3.Kumtegemea Mwokozi
4.Yesu kwetu ni rafiki
5.Mwana wa Mungu
6.Kijito Cha utakaso

Au niseme tu umeimba tenzi yote Kwa viwango vya juu sana....Barikiwa sana Binti wa Mwaipaja
View attachment 2725742
Hakunaga kama R Muhando hapa nchini
 
Back
Top Bottom