kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.