Pia sio asili yetu, ni Wasiria na Wayunani.mwenge
Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
Mkuu tunaendelea kutawaliwa kwakuwa tunaziacha mila zetu. Ona hili taifa lililotawala dunia lakini wanaume wamevaa sketi kama wanawake, unaijua maana yake wewe?Mkuu hapa ndio umeona njia sahihi ya kutetea ule ushirikina uitwao mwenge wa uhuru?
Mkuu mbuzi na uteguaji wa mabomu imekaaje hiyo..?😂Hakuna kafara hapo!
Hao mbuzi ni maaskari kama unavyoona mbwa wa polisi au panya wategua mabomu.
Kuna kikosi kinawamiliki
Hakuna kafara hapo!
Hao mbuzi ni maaskari kama unavyoona mbwa wa polisi au panya wategua mabomu.
Kuna kikosi kinawamiliki
uchawi 2Hakuna kafara hapo!
Hao mbuzi ni maaskari kama unavyoona mbwa wa polisi au panya wategua mabomu.
Kuna kikosi kinawamiliki
mila ya kuchinja siyo??Hata wao Wana mila zao. Dini waliotuletea haihusiki hapo