"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Mkuu acha tu,kuna jamaa yangu nilimwazima.. alikula buyu. Hadi Leo anasema atanilipa.. kifupi simpi tena yeyote yule mkuu,hata la mtu sitaki hata kuomba..
That's the principle.
Siazimi gari la mtu na Siazimishi gari langu kwa mtu
 
SIJUI KWANN NILIVOSOMA TU UZI ,
NIKAJIKUTA NIMEKUWEKA HILI KWENYE HII AINA YA MTU UMEMREVEAL HAPA!!


hakyamama!!..
SIJAKOSEA HATA THELUTHI!!
hongera bana
 
Yaaani umejiongeza vya kutosha,ungempa tu angeenda kuuzia sura kwa bwanake then anamegwa humohumo yaani inakuwa ni full mikosi
 
Rahisi tu, mwambie "SITAKI"

nakuhakikishia hatakuomba tena mkuu.
 
Mwambie anayo leseni, km hana usimpe hata siku moja, afu mwambie inatatizo la injini
 
Huyo ametumwa na wezi. Ukimpa haritarudi. Atarudi na wind screen mkononi. Analalama "baby nimenynganywa gari, walinishikia bastora"
 
Kwanini risirudi rakini???
Kaliuza anakula pesa na mtaji juu. Halafu huwaga hawajali. Anapaki popote anaacha mlango wa dereva wazi na funguo zinacheza.
Anawasha mziki kwa sauti anaendesha kwa kuchezacheza!
 
Gari yangu hajawahi endesha mtu mwingine zaidi yangu, alaf ujasiri wa kuazima gari la mtu unautoa wapi?

Mi kuna wakati niliuza gari nikakaa miaka miwili mpka kununua lingine, hapo kati kati sikuwahi angaika na gari ya mtu hata siku moja.

Mtoa mada kazia hapo hapo, gari bora ulibonde mwenyewe kuliko alibonde mwingine
 
Ukiazimishisha gari lazma roho juu

Sijui kwanini watu wengi huwa si watunzaji wa vitu vya watu
 
Tumejua kuwa una gari[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…