"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Mkuu acha tu,kuna jamaa yangu nilimwazima.. alikula buyu. Hadi Leo anasema atanilipa.. kifupi simpi tena yeyote yule mkuu,hata la mtu sitaki hata kuomba..
That's the principle.
Siazimi gari la mtu na Siazimishi gari langu kwa mtu
 
Hahah,af sasa mim,nna madem weng bro,ungenifaham ungekuja toa ushahid hapa,nadhan hata hum jf wanafaham hilo,maana hua muwaz kuwaongelea madem zangu hum jf..hahah,..na hata sku1 siwez tafta dem hum mkuu,..mi nachkua madem instagram,na nna watom.ba kwel si utan
SIJUI KWANN NILIVOSOMA TU UZI ,
NIKAJIKUTA NIMEKUWEKA HILI KWENYE HII AINA YA MTU UMEMREVEAL HAPA!!


hakyamama!!..
SIJAKOSEA HATA THELUTHI!!
hongera bana
 
Yaaani umejiongeza vya kutosha,ungempa tu angeenda kuuzia sura kwa bwanake then anamegwa humohumo yaani inakuwa ni full mikosi
 
Wakuu,niko katka mtihan mkubwa mno, mi hua siwapi mademu zangu ndinga hata siku moja na kwanza ni mara chache nimemskia demu anaomba ndinga kwangu,

Sasa nina huyu demu ambae namla mla ofcoz.sio dem kiviile ,leo ananambia anaomba ndinga,et yaani nakujikausha kote huko sikuzote sijawahi endesha gari yako,..kiukwel mimi kuhusu swala la kumpa ndinga demu ni hua haiwezekani,bora nimpe dume mwenzangu,..na tena ni nadra sana,labda awe ndugu yangu,..sio ushamba,ndo nilivyo,..namii pia kuendesha ndinga ya mtu hapana,.

Enzi hizo ndinga ya kwanza nilijuaga labda ni ushamba,lakini imeendelea hii tabia kwa ndinga zote nilizowai miliki,...sasa huyu dada kwakwel naona hanijui,na uhusiano uishe tuu ila hii ndinga siwez mpa hata sku1

Samahanin wakuda,najua mtakuja sema ooh ,so unatuambia tujue una ndinga,yes nna mandinga tena,sio ndinga.
Rahisi tu, mwambie "SITAKI"

nakuhakikishia hatakuomba tena mkuu.
 
Mwambie anayo leseni, km hana usimpe hata siku moja, afu mwambie inatatizo la injini
 
Huyo ametumwa na wezi. Ukimpa haritarudi. Atarudi na wind screen mkononi. Analalama "baby nimenynganywa gari, walinishikia bastora"
 
Kwanini risirudi rakini???
Kaliuza anakula pesa na mtaji juu. Halafu huwaga hawajali. Anapaki popote anaacha mlango wa dereva wazi na funguo zinacheza.
Anawasha mziki kwa sauti anaendesha kwa kuchezacheza!
 
Gari yangu hajawahi endesha mtu mwingine zaidi yangu, alaf ujasiri wa kuazima gari la mtu unautoa wapi?

Mi kuna wakati niliuza gari nikakaa miaka miwili mpka kununua lingine, hapo kati kati sikuwahi angaika na gari ya mtu hata siku moja.

Mtoa mada kazia hapo hapo, gari bora ulibonde mwenyewe kuliko alibonde mwingine
 
Ukiazimishisha gari lazma roho juu

Sijui kwanini watu wengi huwa si watunzaji wa vitu vya watu
 
Wakuu,niko katka mtihan mkubwa mno, mi hua siwapi mademu zangu ndinga hata siku moja na kwanza ni mara chache nimemskia demu anaomba ndinga kwangu,

Sasa nina huyu demu ambae namla mla ofcoz.sio dem kiviile ,leo ananambia anaomba ndinga,et yaani nakujikausha kote huko sikuzote sijawahi endesha gari yako,..kiukwel mimi kuhusu swala la kumpa ndinga demu ni hua haiwezekani,bora nimpe dume mwenzangu, na tena ni nadra sana,labda awe ndugu yangu, sio ushamba,ndo nilivyo, namii pia kuendesha ndinga ya mtu hapana.

Enzi hizo ndinga ya kwanza nilijuaga labda ni ushamba,lakini imeendelea hii tabia kwa ndinga zote nilizowai miliki, sasa huyu dada kwakwel naona hanijui,na uhusiano uishe tuu ila hii ndinga siwez mpa hata sku1

Samahanin wakuda,najua mtakuja sema ooh ,so unatuambia tujue una ndinga,yes nna mandinga tena,sio ndinga.
Tumejua kuwa una gari[emoji57][emoji57]
 
Back
Top Bottom