"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Ukimpa aki haribu hata taa au hata pancha ujue garama ni juu yako.
Hii inakera Sana.
Siwez Fanya ujinga huo.
Na bora uhusiano uishe

Naunga mkono hoja
√√√√√√√π√
Umeona mkuu,na uchum huu saa hii alibonde zinitoke lak kadhaa ,hahah.hapana kwakwel,..bora anione kauzu tuu.fresh
 
Hiyo ndinga au mandinga ni aina gani?? Make kama ni Toyota hazina hadhi ya kuiywa ndinnga.. Toyota yoyote ile ni kijigari tu. hivyo kama umeombwa kijigari mpe tu akanyooshe mguu. Lakini kama ni NDINGA kweli usimpe hata kama ni ndugu yako.
 
Anyhow...kwa umr wangu na background yangu kumilik toyota kwangu ni mandinga..hongera wew mwenye brands out of japan...
 
kuna aina nyingi za kutafuta totoz, usijali mkuu watakuja pm
Hahah,af sasa mim,nna madem weng bro,ungenifaham ungekuja toa ushahid hapa,nadhan hata hum jf wanafaham hilo,maana hua muwaz kuwaongelea madem zangu hum jf..hahah,..na hata sku1 siwez tafta dem hum mkuu,..mi nachkua madem instagram,na nna watom.ba kwel si utan
 
Hakuna kitu sipendi kama mtu kuja kuazma ndinga mwingine hana hata shinda ya maana
Umeona mkuu,kuna watu wanajifanya hapa oh,kitu ya kawaida,hahah,ndinga kibongo bongo ni ishu ingine,labda uwe umerith gar ya baba
 
Back
Top Bottom