BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Inahitaji moyo sana kumuazima mtu gari yako hasa kama unaipenda sana gari yako na unaitunza katika matunzo ya hali ya juu. Sifanyagi huo mchezo ni bora nikupe pesa ya uber/taxi uende uendako kuliko kukuazima gari yangu.
Ukimpa aki haribu hata taa au hata pancha ujue garama ni juu yako.
Hii inakera Sana.
Siwez Fanya ujinga huo.
Na bora uhusiano uishe
Naunga mkono hoja
√√√√√√√π√