"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Kama Uchumi wako wa kifala usimpe ....hawakawiii kipigisha mzinga....we chakufanya mpe pesa ya kuzunguka na UBER siku nzima...kama kweli anashida ya usafir....otherwise uyo anataka akafanye showoff tu kwa rafk zake
Kabsa mkuu,
 
Hahahahaha,..kabsaa mkuu...
 
Ungefanya hivi mwambie muende wote yani wew ndo uwe unaendesha ndinga yako
 
Tunataka kujua aina,siyo thamani yake na namba,unatuwekea DLV kwani sisi trafic,na suala la thamani ni kwamba unaweza kununua ist kwa m 18 ukiamua
Hahhhahaa.pambana kwanza ,...aina itakusaidia nin..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…