"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

vitu kama hivi unamuazima mtu kwa sababu za msingi sana.. na awe dereva wa uhakika..

mfano ugonjwa, mzazi kujifungua etc...

sio umuazime mtu aendee harusini au matembezini huku uber zimejaa
 
Anaza wei ovu kutongoza.ahaaa domo zege.
Kwa bahat mbaya sivutiw na madem ambao wana id fake,na sjawai tongoza mtu hum jf toka nijiunge 2012,..mwenye ushahid aweke screen shot hapa
 
vitu kama hivi unamuazima mtu kwa sababu za msingi sana.. na awe dereva wa uhakika..

mfano ugonjwa, mzazi kujifungua etc...

sio umuazime mtu aendee harusini au matembezini huku uber zimejaa
Kabsa mkuu,uchungu wa ndinga aiujuae ni yule anaelipia bank.
 
Yaani wanaume ni wachooooyo!! Hapa kila mmoja anataka anyimwe, vipi kama ni mwanaume alikuwa amuazima mwanamke?!
Si uchoyo dada angu,wadada si madereva wazur,sana sana hawa wanaoazima
 
Back
Top Bottom