"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Wakuu,niko katka mtihan mkubwa mno, mi hua siwapi mademu zangu ndinga hata siku moja na kwanza ni mara chache nimemskia demu anaomba ndinga kwangu,

Sasa nina huyu demu ambae namla mla ofcoz.sio dem kiviile ,leo ananambia anaomba ndinga,et yaani nakujikausha kote huko sikuzote sijawahi endesha gari yako,..kiukwel mimi kuhusu swala la kumpa ndinga demu ni hua haiwezekani,bora nimpe dume mwenzangu, na tena ni nadra sana,labda awe ndugu yangu, sio ushamba,ndo nilivyo, namii pia kuendesha ndinga ya mtu hapana.

Enzi hizo ndinga ya kwanza nilijuaga labda ni ushamba,lakini imeendelea hii tabia kwa ndinga zote nilizowai miliki, sasa huyu dada kwakwel naona hanijui,na uhusiano uishe tuu ila hii ndinga siwez mpa hata sku1

Samahanin wakuda,najua mtakuja sema ooh ,so unatuambia tujue una ndinga,yes nna mandinga tena,sio ndinga.
Nina mandinga mapyaaaaa
Kila mmoja nampaaaa

Unamjua aliyeimba hiyo mistari, kama unamjua mwambie Demu wako amtafute huyo mwimbaji.
 
Sasa kama huna nia ya kumpa,, unatueleza sisi ili iweje?
 
Back
Top Bottom