chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
elimu saa nyingine inasaidia, Shilole na Vanessa wametofautiana sana kwa upeoShishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani
mkuu,sio ponda hio?na yeye siku hizi anakunywa maji mengi kwani kuongea kiingereza ndo nini,
Kisa nn
Tatizo nini
Mkuu umeniwahi... Nimecheka sana eti na yeye anajua ngeliIM TELLING ME
hahahaha unacheza na bange mkuu lolzMkuu umeniwahi... Nimecheka sana eti na yeye anajua ngeli
Kumbe kweli dogo alikua anachezea vibao toka kwa bibie?Vanessa akamuulize Nuh vibao vya Shishi vipoje
We unaangalia vitu gani vinavyowatofautisha? Hebu tafuta chanzo, usikute ni Dushe ndio inawagombanisha.. Na kwenye haya mambo yetu hakuna mtaalamu wala mjuzi wote ni dhaifu. Hii kitu hii kitu hii kitu hiiiii......!Ajira zingine bana!?!? Mpaka ufanye ujinga ujinga ndo uingize?!?! Sasa Vanessa na huyo wapi na wapi jamani... Moja na elfu kabisa...