Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Wakuu tusiogope kifo ….. kifo ni sheria ya asili na wala tusisheherekee kifo cha mtu maana wote sisi ni wapitaji …. It is just a matter of Time

Nimekumbuka before kifo cha JPM wale watu wa karibu wote wa JPM walichunguliwa sana na kupanguswa. Tuliambia ni korona ila baada ya Mkuu kutoweka…. Hatukusikia tena Habari za korona…..Tulimwambia JPM umeumiza sana wengi …. Matukio hayo yana translate kitu kwako …..
tulimwambia moshi mweusi unakaribia mlango ……..fungua macho yako ……akakimbilia Chato na kukaa kidogo akaona hapakaliki. Tulimwambia huwezi kukimbia your fate hata ukiwa aware kiasi gani

Hivyo hivyo sheria ya ulimwengu….

Ukiona watu wako wa karibu wanapuputika….. those people uliozoea kuwa nao na kuchekiana…. Kupiga dili feki n.k ….: wanaondoka mmoja mmoja … ujue time is not right na moshi mweusi is just around the corner and Energy flows …..

Sisi tuliopitia mafunzo ya Budha tunaamini kwenye karma na Balance …. Kila tone la dam linalomwagika kimadhuluma litalipwa kwa namna ile ile au mbaya zaidi . Budha ndio imani pekee ambayo haijawahi kumwaga damu wala kuua watu

Mimi binafsi sitamani, sitamani nchi kuja kuwa chini ya kijana wa less than 45, vijana tunajijua and it will be a disaster to our country history . Calculation za wahuni hazikuwa sawa endapo tukirudi upya kwenye drawing board … that’s scary!!

Kuna message inasukumwa sana ila binadamu yupo katika upofu na dhalali mubin!

RIP kwa watanzania wote waliokufa Oct 29…….. kuna yule mama alikuwa akisulkuma chapati pale Buza ….. alikula chuma moja ya kichwa na kuzima hapo hapo for no good reason ….
 
😢😢😭😭
 
Watu huwa wanafanya decisions ambazo haziakisi ukweli kwamba their lives are not guaranteed. Hicho ndicho kilichosababisha taifa letu likajikuta unexpectedly linaingia kwenye mikono mibovu ya fazafaka wa Kizimkazi.
 
Haap itafurahisha sana akitoweshwa Prince mpendwa, ili naye apate kuumia kama wamama wengine waliopoteza vijana wao kwa amri alizotoa yeye
 
Yes! Death is the sure and mutually event of which every human being must pay.
 
Ni yeye pekee aliyekosa hekima, ambaye shetani amefifisha ufahamu wake, anaweza kuwaua hovyo wanadamu wenzake akiamini kuwa anawakomoa, wakati na yeye njia yake ni hiyo hiyo Ukiona mtawala anaua hovyo watu wake mjue kuwa mpo chini ya mtu aishiye katika laana. Ni juha pekee ndiye anweza kuamini kuua binadamu wenzake ndiyo njia kulinda madaraka. Anayesalia madarakani kwa kuua anakuwa amekwisha kufa kiroho.
 
Mada nzuri, ulipokosea ni hapo tu ulipoonyesha chuki zako za wazi ulizolishwa kwa mfu flani, hilo ndo kosa. Ukileta mada ya akili (amani na kuoendana (nimetamani sana niyajue hayo mafunzo ya budha yasiyohubiri mapigajo kama hizi zetu mbili maarufu)) basi jiepushe na chuki kwa mtu...mada itabaki njema na imenyooka. Vipi waliochochea Hali hiyo hiyo okt 29?!!!!! Nani anawakemea Israel hapa JF tunapoonyeshwa. picha za watoto waliouawa na mabomu?!!! Bila shaka tunasema vita Haina macho na kwamba Wapalestina wasingewachokoza Waisrael basi hayo yasingerokea.

Huku watu wachome miundombinu, waibe na kupora Mali za watu, waumize na kutaka kuua watu, wachome vituo vya polisi yaani nchi ivurugike ndani ya dakika sifuri kusiwe na order Wala utii wa Sheria tena tusiyempenda alitakiwa akae tu kimya akishuhudia kundi hilo la wachache likifanya linavyotaka🤔🤔🤔
 
Kwahiyo Mzee Hafidh, Chivayo ndo useme tutaongozwa na Kijana chini ya 45?
Acha ramli chonganishi.
 
Maisha yetu chini ya jua ni ya muda mfupi sana.......na ukiona mwenzako ananyolewa......

By the way, ntaona wapi zile picha za hug za kizungu....za kisomi....kwa biashara zisizojulikana?

Hii ilikua post yake ya mwisho amewazawadia gari wanasheria zake za mabilioni akiwaambia Jumatatu ya wiki ijayo wakachukue na pesa ya mafuta .

Mtu wa dili huyu amehusika kuvuruga mataifa mengi kwa sababu ya madili yake ya siri na marais.


View: https://x.com/wicknellchivayo/status/2105181044462829959
 
Mbele ya uso wa kifo viumbe hai wote ni sawa.Kifo hakijali hali ya maisha au madaraka uliyonayo.zamu yako ikifika kwasababu yoyote utaenda na aliyepangwa kuzaliwa atazaliwa.Kukaa kufikiri kua wattu wanakufa kwasababu ya kufanya mabaya au kuua wengine uko nikujielekeza vibaya kwasababu iyo ni njia ya kila mtu muda wake ukifika uwe mwema au mbaya.Mengine tunaandika tu hisia zetu kujifariji ila hayo hayana maana yoyote mbele ya kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…