Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Magufuli alivyokufa akasema hatamani kuwa Rais.Wakuu tusiogope kifo ….. kifo ni sheria ya asili na wala tusisheherekee kifo cha mtu maana wote sisi ni wapitaji …. It is just a matter of Time
Nimekumbuka before kifo cha JPM wale watu wa karibu wote wa JPM walichunguliwa sana na kupanguswa. Tuliambia ni korona ila baada ya Mkuu kutoweka…. Hatukusikia tena Habari za korona…..Tulimwambia JPM umeumiza sana wengi …. Matukio hayo yana translate kitu kwako …..
tulimwambia moshi mweusi unakaribia mlango ……..fungua macho yako ……akakimbilia Chato na kukaa kidogo akaona hapakaliki. Tulimwambia huwezi kukimbia your fate hata ukiwa aware kiasi gani
Hivyo hivyo sheria ya ulimwengu….
Ukiona watu wako wa karibu wanapuputika….. those people uliozoea kuwa nao na kuchekiana…. Kupiga dili feki n.k ….: wanaondoka mmoja mmoja … ujue time is not right na moshi mweusi is just around the corner and Energy flows …..
Sisi tuliopitia mafunzo ya Budha tunaamini kwenye karma na Balance …. Kila tone la dam linalomwagika kimadhuluma litalipwa kwa namna ile ile au mbaya zaidi . Budha ndio imani pekee ambayo haijawahi kumwaga damu wala kuua watu
Mimi binafsi sitamani, sitamani nchi kuja kuwa chini ya kijana wa less than 45, vijana tunajijua and it will be a disaster to our country history . Calculation za wahuni hazikuwa sawa endapo tukirudi upya kwenye drawing board … that’s scary!!
Kuna message inasukumwa sana ila binadamu yupo katika upofu na dhalali mubin!
RIP kwa watanzania wote waliokufa Oct 29…….. kuna yule mama alikuwa akisulkuma chapati pale Buza ….. alikula chuma moja ya kichwa na kuzima hapo hapo for no good reason ….
Badae kiti kikawa kitamu akafanya figisu chamani akawa Rais mbaya zaidi akaanza kuua tena mauaji ya kutisha.
Anaishi kwa mawazo, msongo mkubwa na huzuni, huenda analala anashtuka usiku, damu za watu zinamlilia.
Ameanza kuondokewa na watu wake wa karibu bila shaka atakua na magonjwa haya (pressure au moyo) yawezekana 2030 asifike.
1. HAFIDH kifo cha mmewe hata kama walikua hawaishi pamoja lazima kuna matukio yamemuuma.
2.Marafiki zake akina Chivayo lazima hiki pia kimuume sana maana alimsaidia fedha za kampeni na alisambaza karatasi za kupiga kura
3. Wananchi wanamwandama
4. Upinzani una mwandama
5. Serikalini hukujakaa sawa
hatakua sio mzima kiafya na kiakili.