Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

Magufuli alivyokufa akasema hatamani kuwa Rais.
Badae kiti kikawa kitamu akafanya figisu chamani akawa Rais mbaya zaidi akaanza kuua tena mauaji ya kutisha.
Anaishi kwa mawazo, msongo mkubwa na huzuni, huenda analala anashtuka usiku, damu za watu zinamlilia.
Ameanza kuondokewa na watu wake wa karibu bila shaka atakua na magonjwa haya (pressure au moyo) yawezekana 2030 asifike.
1. HAFIDH kifo cha mmewe hata kama walikua hawaishi pamoja lazima kuna matukio yamemuuma.
2.Marafiki zake akina Chivayo lazima hiki pia kimuume sana maana alimsaidia fedha za kampeni na alisambaza karatasi za kupiga kura
3. Wananchi wanamwandama
4. Upinzani una mwandama
5. Serikalini hukujakaa sawa
hatakua sio mzima kiafya na kiakili.
 
Mkuu, ni kitambo sana huwa nakufuatilia, naweza kusema, wewe ni miongoni mwa jamii ya watu wengi na kati ya watu hao, wewe ni wa kipekee, huna huluka ya ushabiki na kufuata mkumbo

Ni miongoni mwa watu waliochagua kutumia akili na si mkumbo na kufuata upepo

Endelea kuelimisha mkuu, huwenda tukawa na jamii Bora sana mbeleni
 
Punguza upumbavu. Wapinzani wanaingia wapi hapa?. Alimwachia nani nchi Zaidi ya CCM? Yeye ndio kaleta ujinga wote huu wa CCM halafu unataka watu wasiseme?. Utekaji yeye, kuua watu yeye, kutesa wapinzani yeye etc. Hawa wajinga wa CCM aliyowaachia nchi ndio wanaaendeleza ujinga wake. Tanzania ilikuwa nchi nzuri watu wanafanya siasa kwa kuvumiliana, ila alipokuja yeye akajiona yeye ndio Tanzania wengine ni wakuja. Kaiacha Tanzania yeye akaondoka. Bado huyo Samiah alimuacha naye siku yake ipo.
 
Huo uzuri wa hizo siasa unazozisema ulisaidia nini maisha ya watanzania. Nani aliyekwambia watanzania mahitaji yao ni hizo siasa nzuri za kinafiki za kutumia maisha ya watu kujinufaisha? Siasa za maigizo mnajifanya kupinga Serikali mkiitwa Ikulu mkipewa juisi mnasahau matatizo ya wananchi. Watanzania wanahitaji huduma bora za jamii na amani siyo hayo maigizo yenu mnayoita siasa wakati ni miradi yenu binafsi.

Huyo mnayemsema aliwajua vizuri ndo maana hakuwakaribisha kwa sababu alijua nyie ni madalali tu. Ndo maana kipindi cha CORONA mlienda bungeni mkabeba posho halafu eti mkaenda lockdown dar. Mwamba alibana mianya yenu ya kupiga hela mkashirikiana kumchafua.

Kwa bahati nzuri kaacha alama ambayo nyie na vizazi vyenu mtaendelea kufurahia. Mnaojiita wapinzani hamna hata robo ya akili aliyokuwa nayo mwamba. Mliamua kumchafua kwa sababu maslahi yenu yaliguswa na upinzani wenu wa kimadili. Mnataja demokrasia wakati mlikuwa mnatumia maisha ya watu kujinufaisha. Hiyo laana inakitafuna chama chenu mmebaki kutaja vyama vingine tu. Tubuni na Mwacheni jamaa ameshaondoka hatwasaidia kwa chochote
 
machoko yakimaliza kupigwa miti kwenye makorido ya limumba ndio yanakuja kukoment uchoko jf.
 
All in all damu ya mtu inadai na hauwez kuwa na amani moyoni japo utajidai ku justify hayo mauaji ili upate amani ya moyo ila kumbuka iyo amani unaikosa kutoka moyoni,lakni unataka kuipata Kwa kusema ,haiwezekani tubuni na mkiri uovu uenda mkapona na mkawa na amani,Mungu ni Mungu wa rehema ,mwenye sikio na askie Neno roho ayambia makanisa
 
Unajua watu wengine wanafikiri kuwa watu wakiuawa kama wewe hukushiriki kutekeleza eti huhusiki!!!
Si kweli hata kidogo, Dhamana ya nchi hii ipo mikononi mwake pamoja na kudai kuwa hajaua hata Sisimizi! Hajui kuwa maamuzi yake na kukaa kimya kwake ndio amebariki hayo na laana itaenda juu ya kizazi cha kwanza mpaka cha Tano, vyovyote walivyokwapua kinyume hawatakula wakafaidi, bali vitapotea kama vumbi na upepo.
 
Amemwondoa makamu wake bila kosa! Naye ana watu kama Mzee mpili wa Yanga, lakini pia ana MUNGU.
 
Huyo pimbi alitudhulumu pesa zetu sina hata hamu nae.
 
mbona na wewe umepuyanga vibaya sana kabisa,wapalestina wamewachokoza nini waisraeli
 
Kwani wakati wa Magufuli kulikuwa na shida? Si tunaambiwa kwamba watu walikuwa na maisha mazuri haijapata kutokea? Na kwamba awamu hii ndiyo watanzania tunashida?
 
Calculation za wahuni hazikuwa sawa endapo tukirudi upya kwenye drawing board … that’s scary!!

Kuna message inasukumwa sana ila binadamu yupo katika upofu na dhalali mubin!
Message inasukumwa na nani ambaye ni so powerful kushinda wahuni?

Yaani powerful enough kuvuka mipaka ya nchi na kwenda kutuma message kupitia influential person and public figure kama big?

What's the point ya kutuma message kupitia innocent beings ilhali wanaweza mfikia muhusika directly?🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…