Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

Hizo kete wenye macho wanaona jinsi zinavyosukumwa

Ila kikombe kilichotumika kumnywesha marehemu, kitatumika pia kwa masalia

Hii itaenda hadi 2050 huko Mungu akitupa uzima

Wanasemaga Maji hufuata mkondo.....
 
Mimi nimekuelewa ila sina cha kusema
 
Ila ya kijana wa chini ya 45 tayari imeanza kunitisha, mara papu mashemeji, wapambe, marafiki wamekula mkeka kama loote hata eda haijaisha.
 
M029 ,Wahuni wa Samuya walifanya mambo ya ajabu sana.

Walikuwa wanaua tu watu hovyo hovyo yaani wakikuta tu nje wanapiga risasi.
 
Sisi tuliopitia mafunzo ya Budha tunaamini kwenye karma na Balance
Hii huwa inatumika afrika ama kwa waafrika tu ama hata kwa wazungu na waarabu Ndugu yangu. Mana hao watu since enzi za msovero ni wizi kwa waafrika, wakatuuza utumwani waafrika almost 180M walifariki baharini , mateso utumwani, tukanyongwa,tukaibiwa Mali zetu, mpaka muda huu miktaba ni wizi mtupu, akitokea kiongozi like Gadafi wazungu wanamuua wanachukua utajiri wa nchi , check like Venezuela.
Sasa naulizia mbona wao bado wanaishi vizuri wanastawi Ila waafrika tulionewa bado tunateseka vijana wanakufa ndani ya Mediterranean sea kwenda kuishi maisha mazuri kwao kwa ajira nzuri.
Hebu niambie hii karma inafanyaje kazi ama ni kwetu tu afrika.
 
Inasikitisha sana
 
Krma ni uongo Mwingine wa mwafrika mnyonge kujipa moyo
 
Neno kabisa la ukweli hili
 
Wameua kina obama ,biden ,trump sasahivi wanadunda tu
 
Akikujibu nishtue
 
Nyerere alikuwa Rais akiwa na miaka 39 unashangaa huyo wa 45
 
Krma ni uongo Mwingine wa mwafrika mnyonge kujipa moyo
Unachukuliwa gold bado unatoa diamond ,mana imeandikwa ukiibiwa shati litoe na koti. Wakachapwa matakoni wakatoa na mgongo kuchapwa Mana imeandikwa kuwa ukizabwa Kofi kushoto geuza pia na kulia.


Najua hata swala akiliwa mtoto wake na chui huwa anamuombea chui karma immalize pia na nyasi zinaombeleza kuwa swala na nyumbu Kila siku Ila ipo siku Hawa wanyama wataliwa ama watauliwa kama sio kupata dhahama. Dini inatumika kukulainisha wewe ili uliwe vizuri. Kodi yako inaliwa vibaya imeandikwa kuwa heshimu mamlaka ya duniani mana imewekwa na mamlaka ya mbinguni
 
90 kwenye ngazi za juu ni wazee!
Sasa kama wazee nao wamekuwa wahuni unategemea nini? Uyo mama wa chapati alikuwa na kosa gani? Kwani wazee walioko kwenye system wanasemaje,hawakuona izo picha? Si hawako tayari kuongelea hilo? Hivyo kijana aliyeona akiamini kisasi ni haki utamzuiya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…