Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Paulo serio kabadili ID name tena saivi anaitwajeAbeeeh nimefanyeje tena Daby......
Nakumbuka wakati ulee zamanii nikiwa Kasinde nilishawahi kusema neno kuhusu avatar yako... basi tangu hapo hukamatiki.... umekuwa zaidi ya sukari guru bin tende bin asali ya warembo wa JF....
Halafu hujavaa miwani umenionaje hehehehee
Saying this I miss former Paulo Sergio de Seuz... I forgot his new name.... (the lens glass thing ) wherever you are Sergio.. .. Kasie misses you...
Daby naomba nifikishie salamu kwa huyu bwana kaka Sergio tafadhali.
Maana aliitwa tupacified