Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Abeeeh nimefanyeje tena Daby......
Nakumbuka wakati ulee zamanii nikiwa Kasinde nilishawahi kusema neno kuhusu avatar yako... basi tangu hapo hukamatiki.... umekuwa zaidi ya sukari guru bin tende bin asali ya warembo wa JF....

Halafu hujavaa miwani umenionaje hehehehee
Saying this I miss former Paulo Sergio de Seuz... I forgot his new name.... (the lens glass thing ) wherever you are Sergio.. .. Kasie misses you...
Daby naomba nifikishie salamu kwa huyu bwana kaka Sergio tafadhali.
Paulo serio kabadili ID name tena saivi anaitwaje
Maana aliitwa tupacified
 
macho hayana matege mwenzako yamenifika hapa
Mimi kidege wew kioonitakufuaataga

Umenitega
Nimerogeka
Wakijileta
Waambie upo na Daby [emoji445][emoji445][emoji445]

Mugacherereee
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Wanna JF na viewers wote kama guest mmesikia na kusoma..? Niko na Daby.... msijilete kabisaaa.

Wajua umekamata madhaifu yangu mengi tuu, travel together.. .. motor racing, swimming, dancing.. ... nitake nini zaidi....
(In between brackets)....

Mwaah!!
 
Have it back mamy.
Haha... yaani never count maana utasahau mengine.. kama fkc.. jogging..singing....

Michael P.
 
Mmesomeka wakuu
 
Kama sijakusoma vibaya mwanzoni kabisa mwa huu uzi uli comment kuwa unamuonea wivu Daby...... ila wivu wa kitu gani hukuelezea.... tena mlikuwa wawili au hata hiyo quote uliyoandika mwenyewe nayo huhusiki?
Hahahaha Mimi sinaga wivu kabisaaa.
 
Have it back mamy.
Haha... yaani never count maana utasahau mengine.. kama fkc.. jogging..singing....

Michael P.

Ndo mahaba nipoteze kumbukumbu irejee baada ya mwaka.
Fcuk you right back...
 
Hata kama ulikuwa na stress lakini ukija huku JF unaweza kuvunjika mbavu asee
 
Back
Top Bottom