Behaviourist Kasinde aka Kasie ana nini nawe?

Sina shaka mkuu... Kasie ananijaza furaha kubwa saana..

Jamani Daby.... unanifanya nijisikie mdeni kwako... nashukuru kwa kukupa furaha nami kapata faraja kuwa kila unionapo na niwapo na wewe nakupa furaha..... penda sana wewee
 
Jamani Daby.... unanifanya nijisikie mdeni kwako... nashukuru kwa kukupa furaha nami kapata faraja kuwa kila unionapo na niwapo na wewe nakupa furaha..... penda sana wewee
Penda veve pia saana mamy
 
Haha... you're so fanny. Ata nikifwa nikifika huko nakusubiri

Hahahahaa mie sitaki ukufwee, kama ni kufa tukufwe wote.... mahaba nisokote kama msokoto wa bange haachwi mtu nyuma.... aka bamper to bamper...
 
Today let's be together tujikumbushie mateso ya yesu huku tukisali kimya kimya [emoji5]

Aahahahahhahaaaa umenifanya nicheke kwanguvu looh

Halafu umejuaje kuwa Kasie anapenda kusali kimya kimya?
 
Aahahahahhahaaaa umenifanya nicheke kwanguvu looh

Halafu umejuaje kuwa Kasie anapenda kusali kimya kimya?
Teh hili ni swali nyengeshi..... ni sawa na kuuliza kwanini ubavu wangu ulitolewa ukapewa wewe
 
Teh hili ni swali nyengeshi..... ni sawa na kuuliza kwanini ubavu wangu ulitolewa ukapewa wewe

Aaaawwww Daby, aaaiiiii laaab yuuu Dabyyyyy
 
Love you more(nigerian sound) hahaha I wish ungeskia nilivyoitampka hiyo.. kama GORDON( I know you him)
Aawwwww hahahaha so sweet....
Yaani sauti imepenya hadi kwenye ngoma ya sikio....
 
[emoji16][emoji16] omba leo ni ijumaa ya nanihii. unajua ningetukanajeee!!

Ijumaa ishapita haya tukanaaaaaa yoooteee
Weka hapa hata kwa kilugha...... hehehehehehe
 
Tack sa mycket...

Long weekend something must have to be happen

Haahaahaaahaaaaaaa Daaabbbyyyyyyyy.....

Twende tukaogelee na kupiga makasia Bagamoyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…