Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha... you're so fanny. Ata nikifwa nikifika huko nakusubiriI missed you too Daby... usikufwe jamani Daby... mie ntabaki na nani sasa...?
Penda veve pia saana mamyJamani Daby.... unanifanya nijisikie mdeni kwako... nashukuru kwa kukupa furaha nami kapata faraja kuwa kila unionapo na niwapo na wewe nakupa furaha..... penda sana wewee
Yaani ndo mpango mzima hahaha watu wana show love tuHaha sure na pia kufarijika kubebika et al
Today let's be together tujikumbushie mateso ya yesu huku tukisali kimya kimya [emoji5]Asante Dady.. .. penda veve pia vakati votee
Teh hili ni swali nyengeshi..... ni sawa na kuuliza kwanini ubavu wangu ulitolewa ukapewa weweAahahahahhahaaaa umenifanya nicheke kwanguvu looh
Halafu umejuaje kuwa Kasie anapenda kusali kimya kimya?
Love you more(nigerian sound) hahaha I wish ungeskia nilivyoitampka hiyo.. kama GORDON( I know you him)Aaaawwww Daby, aaaiiiii laaab yuuu Dabyyyyy
[emoji16][emoji16] omba leo ni ijumaa ya nanihii. unajua ningetukanajeee!!Aawwwww hahahaha so sweet....
Yaani sauti imepenya hadi kwenye ngoma ya sikio....
Haha... wacha yesu afufuke kwanza....hahaIjumaa ishapita haya tukanaaaaaa yoooteee
Weka hapa hata kwa kilugha...... hehehehehehe
Tack sa mycket...Tikke... seconded.