Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Alafu kiingie chama gani? Nawaza tu mkuu usiniponde na mawe kwa kuwa hata mm natamani itokee alternative chama
 
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa..

Mabehewa ya trains za sgr yameanza kuwasili Nchini.

Tuliambiwa mwezi January sgr ya Morogoro inaanza kufanya kazi.

Hongera TRC na hongera Rasi Samia kwa kutekeleza kwa vitendo..Kazi iendelee👇

Screenshot_20221123-073136.png
 
wajukuu zetu na vitukuu wataamini sisi babu na vilembwe vyao tulikuwa mataahira labda.

Hivi mpaka leo tunazungumzia hiki kipande cha Dar - Moro?
Hayo mabehewa sidhani kama ni mapya, inaonekana ni rapaired used.
tusilete mzaha kwenye haya mambo ya kitaalam tutakuja kuua watu halafu tuendelee kupiga siasa.
 
Behewa 14 za SGR zaanza kuwasili nchini tanzania kutokea nchini Korea Kusini.

 
Back
Top Bottom