Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

kuna mabasi mazuri kabisa yanaundwa bodi hapa bongo, wanauza hadi kenya, kwamba kuunda tu behewa hizi ambazo ni sawa tu na kuunda matrailer ya malori n.k au mabodi ya mabasi, ndio tuagize toka ulaya yaliyochakaa?
Huko wanapata magawo wa 10%
 
Funguuua tuone kilichopo...ndani yake....
 
Back
Top Bottom