Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Si bwana yule yule Samjo Samjo sana wajina wake "Shujaa" Majaliwa alikwenda kuyakagua na akaridhika kabisa kwamba yapo byeeeeeeee???
bila kumponda marehem hujisikii sawa , kwann usiwalaumu pia na hawa
 
Yaani kazi yako kubeba spika na bendera za Chadema kwenda mikutanoni, tayari umejua mabehewa hayana ubora.

Shule yenyewe ulikuwa mtoro, madaftari unafungia maandazi, na kazi kubwa ilikuwa kujificha makorongoni au vichakani ukivuta
Mwenzako anaangalia rangi labda. Shida kubwa ya kwetu tunadhani kuwa mwanaharakati nikupinga kila kitu kwanini tusisubiri kutumia halafu tutoe hukumu zetu tunataka mabehewa kama ya ulaya lakini nauli za kibongo. Ndio maana hata kwenye ndege kuna Air Tanzania, Emirates, Precious, Qatar sijui Ethiopia zote ndege lakini hazifanani na nauli hazifanani.
 
Mabehewa ya kisasa muonekano wake kwa nje bila kuingia ndani ukoje? Yana tofauti gani na haya ya kwetu? Tukumbuke reli yetu siyo High Speed Rail (HSR), rolling stocks za kwenye HRS zina tofauti kidogo kimuundo ili kuwezesha spidi kubwa
Mkuu Wali wa Kushiba unaonekana kwenye sahani tu .
 
Kama hili
JamiiForums1384929189.jpg
 
Mabehewa ya kisasa muonekano wake kwa nje bila kuingia ndani ukoje? Yana tofauti gani na haya ya kwetu? Tukumbuke reli yetu siyo High Speed Rail (HSR), rolling stocks za kwenye HRS zina tofauti kidogo kimuundo ili kuwezesha spidi kubwa
Wenzako walisha google wakatoa na picha ya zile bullet train za Japan sasa wewe unataka upande train ushuke Kibaha sijui Chalinze halafu upande train kama ya japan nauli zenyewe za kuunga unga tu mkisimama tu wauza mayai wako madirishani.
 
Back
Top Bottom