Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

How Much ?

Mimi kama mlipa Kodi siwezi kusema ni baya au zuri bila kujua ni ngapi limelipiwa...

Hivi na kile Chuo cha Reli na Veta hawawezi hata kufanya Assembling ya haya mambo ?.., ili haya yakiharibika wanakwenda wanayafanyia refurbishment...,

Nadhani na hili wakalitazame
 
Nachokiona kama usimamizi wa mali za serikali ni wakusuasua tutarajie majanga makubwa katika miradi yote inayoendelea pamoja na yote siamini kama mabehewa haya yaliyoletwa yana ubora kiasi gani kwa ajiri ya matumizi ya SGR.

Serikali tangu asubuhi mzigo unatolewa kwenye meli na watu miluzi imekuwa mingi hata kauli ya serikali hamna[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2425101
 

Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    Screenshot_20211029-110122.png
    234.4 KB · Views: 3
honestly nilikuwa simkubali jiwe 100%. ila sasa nimeanza kuona umuhimu wa ile kauli yake ya "mtanikumbuka".

pamoja na ukatili wake wote, hili la kuletewa mabehewa/behewa la treni iliyochakaa, mgao wa umeme nk, asingekubali vitokee chini ya utawala wake. angetumbua watu kama hana akili nzuri.

ila kwa huyu mama, itakuwa ni business as usual, litapita kimyakimya. akiona mnampigia sana kelele mitandaoni, atajitungia zake trip ya siku kadhaa nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom