Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Huu mkataba mmesaini wenyewe kabisa na wala bashiru hakuwa kiongozi popote zaidi ya kuwa mbunge.

Kwa hiyo muacheni.

1669210426331.png


TULICHOAMBIWA
1669210801267.png


KILICHOLETWA.

1669210837722.png
 
Kila kitu mnakozoa na tena pengine ni picha tu mmeona na ss tulioko kwenye tukio kbsa acheni ujinga
 
Hii nakumbuka hata kenya waliahidiwa treni nzuri mombasa nairobi route, Yakaja maududu unajua nini kilitokea, Abiria hawa opt kupanda treni badala yake imekua ni hasara mno ukilinganisha ilikopwa pesa nyingi kwa wachina,
Yaani kifupi mradi ukawa haulipi. same story naiona hapa.
cause dar dodoma si mbali kihiivyo ukamhamasisha mtu apande train aache kutumia luxury buses you need to compete with buses ukilia mikwelekweche itakua hasara tu.
Hujui unalozungumzia mkuu.
SGR ya Kenya kupata hasara si kwa sababu abiria hawasafiri kwa hiyo SGR.

Sasa hapa unajipa ujuaji usiokuwa na kichwa wala miguu!
 
Mwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2424970View attachment 2424971
Sasa,
Yaani kwa mfano naenda Dodoma niache kupanda BM bus nikapande hili banda la nguruwe lililoboreshwa?
Ulaya waneamua kutuzawadia zile behewa zilizowabeba wayahudi kwenye ile picha ya sobibo kama uliwahi kuiangalia utayakumbuka haya mabehewa.
 
Back
Top Bottom