Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Behewa za SGR zaanza kuwasili nchini Tanzania

Umeona majina ya hizo kampuni ni tofauti, pia nchi ni tofauti. Haya mabehewa ya Sasa alihusika mwendazake
Ndio maana nikasema.. narudia tena.. msimhusishe Bashiru kwenye hili.

Najua tu mtasema hivi kama wewe.

Nyie hamna baya.. mmenyooka mno.
 
Haya ni mabehewa kweli ya train ya kisasa au ni nini?
Wenzenu walitumua mabehewa kama haya karne 18 huko.
 

Attachments

  • Screenshot_20221123-171744_Instagram.jpg
    Screenshot_20221123-171744_Instagram.jpg
    80.8 KB · Views: 2
Hapana.

Kama "mabehewa yanayokuja" muonekano wake ni sawa na hiyo picha iliyowekwa hapo, (picha #2), hayo yatakuwa siyo "mabehewa ya kawaida" hata kidogo!
Hata yale ya 'mete gauge' mbona yatakuwa ni bora zaidi kwa mwonekano wake kuliko haya!

Bado siamini kwamba hiyo picha ndiyo mabehewa yatakayotumika kwenye SGR.
Mbona mabehewa yako poa sana tu kwa ndani full kiyoyozi na facilities zote muhimu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom