kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Ha haSasa umeme watatumia huu huu wa Maharage na Kipara au hizi treni zimefungwa solar system!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haSasa umeme watatumia huu huu wa Maharage na Kipara au hizi treni zimefungwa solar system!!
Zimetengenezwa Sido?Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514
Yaani hata mimi nimewaza hivyokwamba hizi behewa kama hivyo zinavyoonekana hatuwezi kuzitengeneza hapa bongo? mbona mabasi wanaunda mabodi? au si kuunda behewa tu tupu halina injini.
Mama ana upiga mwingiMbona mabaya hivyo
Mkuu ata Veta wanaweza kutengeneza bila wasiwasikwamba hizi behewa kama hivyo zinavyoonekana hatuwezi kuzitengeneza hapa bongo? mbona mabasi wanaunda mabodi? au si kuunda behewa tu tupu halina injini.
Hiyo kazi wapewe JktHalafu muandae watu wa kutosha kusimamia wabongo ndani ya hayo mabehewa!
Maana wengi wamezoea maisha ya kuharibu haribu tu vitu, kutokana na kukosa ile culture of care and maintainance.
Kila uchafu wenu Kwa MAGUFULI acheni upumbavu mbwa nyieHizo ndio zote, na kila kitu alifanya mwendazake. Hilo la kwanza ilikuwa ni siasa tu, sgr inatumia behewa hizo
Labda hii ni nyongeza mzigo wenyewe haujaja !!!! Buy One Get Four FreeMwanzo tuliahidiwa hivi[emoji1313][emoji1313][emoji1313]Picha namba 1
Tumeletewa haya mabox Picha namba 2
Ni huzuni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2424970View attachment 2424971
Pascal Mayalla uzi kama hizi huwa yeye ashiriki kujibu hoja huwa ana like tuu nakupotea...
Hapa ninachokisoma na kinachokanushwa ni vitu viwili tofauti, kwanza Watanzania tunapaswa kuambiwa ukweliMADAI
Mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC vinapigwa mnada 25/11/2022, nchini Germany kufuatia mgogoro wa TRC na EUROWAGON Railways Limited (Turkey), iliyopewa kazi ya kukarabati na kutia nakshi. TRC wamelipa Sh. 23 bilioni (35% ya kazi).
Inadaiwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EUROWAGON, Yalçın Aydemir amesema wataanza na mnada wa mabehewa 17 ya awali katika mnada huo (hadi sasa wateja wawili wamepatikana kutoka Serbia), na mabehewa 13 na vichwa 2 vya treni za mwendokasi vitasubiri hadi mteja apatikane na kisha watavipiga mnada.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kampuni ya EUROWAGON ya kutoka Turkey ziliingia makubaliano Oktoba 2020 kwa ajili ya ujenzi (ukarabati na utiaji nakshi) wa vichwa viwili vya treni ya umeme na mabehewa 30 ya abiria ambao ulitegemewa kukamilika ifikapo Novemba 2021.
TRC ilisitisha mkataba huo Februari 25, 2022 kwa madai kwamba EUROWAGON wamechelewesha kazi na mazungumzo hayajawahi kuendelea. Kampuni ya RINA ilipewa kazi ya kuthibitisha kazi ya ukarabati na utiaji nakshi mabehewa hayo na kuthibitisha kwamba kazi hiyo imekamilika kwa 50%.
Hivyo EUROWAGON Railways Limited wanataka malipo ya Sh. 10 bilioni, ambayo ni 15% ya kazi iliyothibishwa na RINA kwamba kazi ya ukarabati na utiaji nakshi ilifanyika kwa 50% na malipo ya Sh. 23 bilioni ni kwa ajili ya 35% ya kazi hiyo. Malipo haya yalifanyika Desemba 14, 2020
Baada ya kuvunja mkataba huo Februari 25, 2022 na EUROWAGON, TRC wakaingia mkataba na kampuni nyingine kwa ajili ya ukarabati wa mabehewa na kutia nakshi. Kampuni hizo ni Zeller KG Engineer (Austria), Baltic Port Service GmbH na Lueckemeir Transport Logistics GmbH (Germany)
EUROWAGON kupitia Mwanasheria Duygu Seda, wakamuandikia barua Mkurugenzi wa TRC kwamba Tanzania Railways Corporation (TRC) wamevunja mkataba kwa njia ambazo siyo halali. TRC walivunja mkataba kwa kigezo cha EUROWAGON kushindwa kuwasilisha Dhamana ya Utendaji (performance Bond)
Mwanasheria wa EUROWAGON, Duygu Seda katika barua hiyo kwa Mkurugenzi wa TRC amemueleza kwamba kutokana na sheria za EU, Germany, Turkey na Austria na makubaliano kati ya EU na Turkey, TRC hawaruhusiwi kufika yalipo mabehewa na vichwa vya SGR wala kusafirisha isipokuwa EUROWAGON.
TRC hawakununua vichwa na mabehewa mapya kwa ajili ya SGR, isipokuwa, EUROWAGON waliopewa zabuni walinunua vichwa 2 na mabehewa 30 kutoka kampuni ya Reli inayomilikiwa na serikali ya Germany, DB Regio, ili kuvikarabati na kuvitia nakshi nakshi, kisha vilisajiliwa kuwa mali ya TRC
Mkurugenzi Mtendaji wa EUROWAGON, Yalcin Aydemir anasema kwamba TRC walimpa kazi bila dhamana ya Utendaji (Bank/performance guarantee) lakini ghafla TRC wakabadili gia angani na kuidai. Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa anasema EUROWAGON wanatapatapa tu hawana hoja.
TRC June 17, 2022 ilisema imesitisha mkataba na kampuni ya EUROWAGON, iliyokuwa ikitengeneza mabehewa hayo baada ya kushindwa kukamilisha ukarabati vichwa 2 na mabehewa 30 ya abiria, kwa ajili ya majaribio hayo, ni kwa mujibu wa Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk
Vifaa hivyo kutoka EUROWAGON vilitakiwa kukamilika Novemba, 2021, TRC ilisitisha mkataba na kuwataarifu kwa barua Februari 25, 2022 na kuendelea na kazi ya kukamilisha ukarabati unaotarajiwa kukamilika Agosti mwaka 2022,” alisema mkuu wa Kitengo cha Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk
Kwa mujibu wa Tanzania Railways Corporation, taarifa waliyoeleza kwa waandishi wa habari June 15, 2022, walisema Mkataba kati yao na EUROWAGON unaipa TRC haki ya kuchukua jukumu la kukamilisha ukarabati iwapo mzabuni atashindwa kuzingatia masharti ya mkataba.
View attachment 2424063
Stop acting smart !!! 😀😀😀😀😀Patience kills...!
huna akili wewe.Hiyo oda ilishatolewa na mwendazake muda mrefu tu. Usimsingizie Samia
aiseeeee !!Mabehewa ya kwenye escape from sabibo
Sijaona sehemu ya kuingiza hewa kwa juu, bali mtambo wa air condition tu.Munataka muanze ingiria dirishani? Hewa inaingia kwa juu. Hayo madirisha kama ya ndege.
hayo ndio yameletwaHapana.
Kama "mabehewa yanayokuja" muonekano wake ni sawa na hiyo picha iliyowekwa hapo, (picha #2), hayo yatakuwa siyo "mabehewa ya kawaida" hata kidogo!
Hata yale ya 'mete gauge' mbona yatakuwa ni bora zaidi kwa mwonekano wake kuliko haya!
Bado siamini kwamba hiyo picha ndiyo mabehewa yatakayotumika kwenye SGR.