Ziko wapi, au mnadhani watanzania ni wajinga hawajui kama mmeliingiza hasara taifa kwa kuvunja mkataba wa ujenzi wa vichwa vya treni na mabehewa ujerumaniBehewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514
Behewa Mitumba na dumping ya scrappersBehewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea View attachment 2424514
Ulichoandika naamini ndicho kiswahili.Kuandika ..."behewa zawasili"...!Nao ni ujinga wa kutokuwa na magego.Mabehewa mabaya ya kizamani sana
Ndiyo maana kuna uzi nikaupa heading isemayo; Kwa mtindo huu Afrika kusonga mbele kamwe ni nadra!., baadhi ya viongozi wa kiafrika hawana mpango wa kuzivusha nchi zao.Ille toll road kibaha to Moro watapigaje hela sgr ikiwepo
Walishatoa ufafanuzi kuhusu hili... fatiliaHongera serikali kwa hatua hiyo
Umeme wa kujitegemea ku-operate train hizo upo? Au wanategemea huu wa mgao?
Mbona hayafanani, yameungiwa stesheni ipi?Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa..
Mabehewa ya trains za sgr yameanza kuwasili Nchini.
Tuliambiwa mwezi January sgr ya Morogoro inaanza kufanya kazi.
Hongera TRC na hongera Rasi Samia kwa kutekeleza kwa vitendo..Kazi iendelee👇
View attachment 2424723
Kiukweli hata mimi yamenishangaza..hapo watu wameshalamba 10%Mbona hayafanani, yameungiwa stesheni ipi?