Behind the curtain: September 11

Endelea kufuatilia mkuu.. Hasa hasa nikiweka sehemu ya pili na ya Tatu.. Kuna mambo yenye utata sana yalifanywa na "US Intelligence Community" kabla na baada ya tukio ambayo yanatia shaka mno..
Hapooooooooooo.........!!!!!
 
Du kawatag wote hawa ila mi simo why the bold?
 
Labda kama unamaanisha baada ya vita kuu ya pili; maana Pearl harbour ilikuwa muziki kama huu.

Tazama hii video ili upate another perspective of 9/ 11.

Hili tukio linatikia shaka sana. Ipo siku ukweli utajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…