Behold! The best railway in Africa!

Behold! The best railway in Africa!

wakenya poleni kwa maumivu.
😀😀😀😀 maumivu ya slaughter house for a station....Kadada NYESHA POLE POLE
1550488057050.png
 
Eti demand. Miundo mbinu kama hii ni ya kudumu kwa miaka mingi alafu lengo kuu huwa ni kuinua sehemu zote inazopita kihali na kimali. Nyinyi mnajenga mkitizama uchaguzi mkuu unaowadia? Wenzenu wanajenga miundo mbinu ya miaka ya baadaye kabisa.

Yafaa muwe na utaratibu wa kuwa na subira.

Mwanaume kutanguliza maneno haifai.hiyo project iko under 40% mbio mbio kuja kuianzishia uzi hapa.
 
Acha tuwe na subira basi, tuone ikifika 42%. Hahaha! [emoji1]
 
Yafaa muwe na utaratibu wa kuwa na subira.

Mwanaume kutanguliza maneno haifai.hiyo project iko under 40% mbio mbio kuja kuianzishia uzi hapa.

Uzi wote huu nimefuatilia yaani mumeshindwa counter-attack hata moja, sijawahi kuona Wabongo wakiwa hopeless and helpless hivi.
Nilijua ipo siku mtabamizwa kwa hili la reli, mliachiwa mtambe siku mlianza kwa michoro, maana kiukweli mpo vizuri kwa mambo ya usanii na ukajanja...subirini kipodo bado, tena mkumbuke mwaka unaisha mnaingia kwenye uchaguzi, hivyo itabidi mharakishe ili walau mtumie hiyo reli kwa ajili ya kutafutia kura, nasubiri kituko mtakachozindua.
 
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.

Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.

Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.

Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
 
huko ndo maana miradi yenu bei kubwa ndo vichaka vya wakubwa kula kwa huku station kubwa kwa sehemu kama soga ni kupoteza rasilimali tu
 
Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikiti ya metropolis.

Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
Pwani barabarani tu kupita mji unaofata Morogoro
 
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.

Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.

Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.

Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.

A station can easily be introduced or expanded when there's demand.

Changing from refurbished Chinese diesel trains is much more unreasonable.

Kenyans have a very pedestrian thinking to infrastructure. They have no idea why planning is a key part of the construction process but only think about how to steal money and build substandard stuff. They are even more excited by blink and dysfunctional stuff like what they have in their noisy unsafe buses!!

They are arguing here yet they didn't do any feasibility for their shittty white elephant rail and train stations which xi ping call a vanity project which they'll no longer pour Chinese hard earned cash.

China's Xi says funds for Africa not for vanity projects | Reuters
 
Uzi wote huu nimefuatilia yaani mumeshindwa counter-attack hata moja, sijawahi kuona Wabongo wakiwa hopeless and helpless hivi.
Nilijua ipo siku mtabamizwa kwa hili la reli, mliachiwa mtambe siku mlianza kwa michoro, maana kiukweli mpo vizuri kwa mambo ya usanii na ukajanja...subirini kipodo bado, tena mkumbuke mwaka unaisha mnaingia kwenye uchaguzi, hivyo itabidi mharakishe ili walau mtumie hiyo reli kwa ajili ya kutafutia kura, nasubiri kituko mtakachozindua.

Mzee kwani unatumia akili gani???

Kupigwa gani unakozungumzia!!!yaani kweli umekaa chini ukatafakari station ni muhimu sanaaa,hiyo ni sehemu ya muda mfupi kusubiria train yenye kasi,about 15 min to 30min,sio kulala na kufanyia massage hapo.!!!?No whonder wachina waliwapamba kwenye stations na mkapambika.

Subiri hapa,utayakimbia maneno yako kama kawaida yako.ni wewe uliyesema hatutamaliza even 1km ya kutandaza reli,leo umebadili gia angani,eti uchaguzi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]bado tuonheze dozi.
 
A station can easily be introduced or expanded when there's demand.

Changing from refurbished Chinese diesel trains is much more unreasonable.

Kenyans have a very pedestrian thinking to infrastructure. They have no idea why planning is a key part of the construction process but only think about how to steal money and build substandard stuff. They are even more excited by blink and dysfunctional stuff like what they have in their noisy unsafe buses!!

They are arguing here yet they didn't do any feasibility for their shittty white elephant rail and train stations which xi ping call a vanity project which they'll no longer pour Chinese hard earned cash.

China's Xi says funds for Africa not for vanity projects | Reuters
Any commercial structure is designed to last at least a hundred years. Look at our Germany built railway, stations are being used today without any changes. Look at our Chinese built TAZARA, how many stations were expanded so far? None whatsoever and they are truly beautiful, we simply failed to maintain them.

But this Soga station is outdated before its built.
 
issue inayoongelewa apa si ukubwa wala udongo wa kituo, fwatilia uzi vizuri upate kuelewa. Hicho kituo hakina muonekano wakisasa. hakina mvutio, kinatia chafya haswa.
huko ndo maana miradi yenu bei kubwa ndo vichaka vya wakubwa kula kwa huku station kubwa kwa sehemu kama soga ni kupoteza rasilimali tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom