mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
😀😀😀😀 maumivu ya slaughter house for a station....Kadada NYESHA POLE POLEwakenya poleni kwa maumivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀 maumivu ya slaughter house for a station....Kadada NYESHA POLE POLEwakenya poleni kwa maumivu.
Am not intrested on vanity things like beauty..Cost,efficiency and practicability are the things that impress meMkikuyu- Akili timamu kuja utufafanulie maneno haya. wewe ni one of the "inner-circle" in Magus sphere of influence
😀😀😀Am not intrested on vanity things like beauty..Cost,efficiency and practicability are the things that impress me
Eti demand. Miundo mbinu kama hii ni ya kudumu kwa miaka mingi alafu lengo kuu huwa ni kuinua sehemu zote inazopita kihali na kimali. Nyinyi mnajenga mkitizama uchaguzi mkuu unaowadia? Wenzenu wanajenga miundo mbinu ya miaka ya baadaye kabisa.
Acha tuwe na subira basi, tuone ikifika 42%. Hahaha! [emoji1]Yafaa muwe na utaratibu wa kuwa na subira.
Mwanaume kutanguliza maneno haifai.hiyo project iko under 40% mbio mbio kuja kuianzishia uzi hapa.
What speed can yours manage?😀😀😀😀and yet the rail can only manage 80 km/h of a train! 😀😀
What speed can yours manage?😀😀😀😀
Yafaa muwe na utaratibu wa kuwa na subira.
Mwanaume kutanguliza maneno haifai.hiyo project iko under 40% mbio mbio kuja kuianzishia uzi hapa.
huko ndo maana miradi yenu bei kubwa ndo vichaka vya wakubwa kula kwa huku station kubwa kwa sehemu kama soga ni kupoteza rasilimali tuUzi wote huu nimefuatilia yaani mumeshindwa counter-attack hata moja, sijawahi kuona Wabongo wakiwa hopeless and helpless hivi.
Nilijua ipo siku mtabamizwa kwa hili la reli, mliachiwa mtambe siku mlianza kwa michoro, maana kiukweli mpo vizuri kwa mambo ya usanii na ukajanja...subirini kipodo bado, tena mkumbuke mwaka unaisha mnaingia kwenye uchaguzi, hivyo itabidi mharakishe ili walau mtumie hiyo reli kwa ajili ya kutafutia kura, nasubiri kituko mtakachozindua.
Pwani barabarani tu kupita mji unaofata MorogoroWakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.
Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.
Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikiti ya metropolis.
Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
Wewe huelewi hata Industrial region ya Tanzania iko wapi.Pwani barabarani tu kupita mji unaofata Morogoro
Wakenya wapo sahihi sana kwenye hili. Station ya Soga ilitakiwa iwe kubwa na ya kisasa zaidi kwani ina represent mkoa mzima wa Pwani, mkoa ambao ni unofficial Industrial region ya Tanzania.
Viwanda vingi sana vinajengwa mkoa wa Pwani na vingi zaidi vitajengwa si mbali sana na Soga, hicho ki station kama boksi karne hii hakifai kabisa. Designers wetu ni bogus kabisa.
Station ya Soga in a very near future itakuwa busy kuliko ya Dar kwa sababu Dar hakuna expansion ya jiji, expansion yoyote itaelekea magharibi ya Dar. Miaka 20 ijayo Soga station itakuwa katikati ya metropolis.
Watanzania tupo kama kipofu aliyeona punda.
mtadandia tu juuu kwa juuWewe huelewi hata Industrial region ya Tanzania iko wapi.
Uzi wote huu nimefuatilia yaani mumeshindwa counter-attack hata moja, sijawahi kuona Wabongo wakiwa hopeless and helpless hivi.
Nilijua ipo siku mtabamizwa kwa hili la reli, mliachiwa mtambe siku mlianza kwa michoro, maana kiukweli mpo vizuri kwa mambo ya usanii na ukajanja...subirini kipodo bado, tena mkumbuke mwaka unaisha mnaingia kwenye uchaguzi, hivyo itabidi mharakishe ili walau mtumie hiyo reli kwa ajili ya kutafutia kura, nasubiri kituko mtakachozindua.
Any commercial structure is designed to last at least a hundred years. Look at our Germany built railway, stations are being used today without any changes. Look at our Chinese built TAZARA, how many stations were expanded so far? None whatsoever and they are truly beautiful, we simply failed to maintain them.A station can easily be introduced or expanded when there's demand.
Changing from refurbished Chinese diesel trains is much more unreasonable.
Kenyans have a very pedestrian thinking to infrastructure. They have no idea why planning is a key part of the construction process but only think about how to steal money and build substandard stuff. They are even more excited by blink and dysfunctional stuff like what they have in their noisy unsafe buses!!
They are arguing here yet they didn't do any feasibility for their shittty white elephant rail and train stations which xi ping call a vanity project which they'll no longer pour Chinese hard earned cash.
China's Xi says funds for Africa not for vanity projects | Reuters
huko ndo maana miradi yenu bei kubwa ndo vichaka vya wakubwa kula kwa huku station kubwa kwa sehemu kama soga ni kupoteza rasilimali tu