Behold! The best railway in Africa!

So according to you, building a station is easier than replacing a locomotive?

Also, if you bothered to open that link you've posted, and if you have the slightest comprehension of English, you would have noted that Xi was actually defending their funding.

Xi defended the projects in Africa, saying their money is not funding 'vanity projects' (as claimed by the west), but rather critical infrastructure.

Tanzania should first invest in education. Your roads and rail will be useless if the people are dumb as rocks.
 
Yule bibi wa mashababi naona anawapa darasa humu kuhusu umuhimu wa kutumia ubongo wakati wa kutengeneza vituo vya reli, imebidi nikae pembeni nione kama mtamuelewa au mtabwabwaja kama ilivyo kawaida yenu.
 
Matchbox Architecture. Nonstarter railway station Architecture race.
 
Yule bibi wa mashababi naona anawapa darasa humu kuhusu umuhimu wa kutumia ubongo wakati wa kutengeneza vituo vya reli, imebidi nikae pembeni nione kama mtamuelewa au mtabwabwaja kama ilivyo kawaida yenu.

hao wa ethiopia wenye ya umeme miji ya kati wameweka station simple tu nyie mmepeleka pesa nyingi kwenye station kama watu ndo wataishi humo ...usafiri wenyewe mmepeleka mikoko ya dizeli
 
Hapa inabidi ukubali umereason tu ufala,how many stations has tanzania ever expanded versus the number of trains bought over the years?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali inatoa ruzuku ya elimu $10M kila mwezi mashuleni, watoto wa vyuo vikuu hupata mikopo maboresho hua hayakomi kila mwaka wanaboresha,hatuwez kuacha kujenga miundombinu muhimu kama SGR

$10 million ata haitoshi school district moja huko USA. Nothing to be proud about. Pesa ya madafu.

Kenya education budget 2018 - $4 billion
Tanzania education budget 2018 - $0.7 billion

Shows which country is serious about its future. Human resources is greater than any resource.
 
ndo maana limekua ni white elephant mnachapwa viboko tu na wachina huyo ldc hata kichapo cha mchina hakijui

Sijui kama waelewa maana ya white elephant.
SGR trains are always overbooked. Sasa hivi watu wanaongea kuhusu kununua locomotives zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…